Tukiwaambia kuwa Slaa na Lowasa ndio waliipaisha Chadema kisiasa Chadema wanajifanya kubisha
Lakini ushahidi wa wazi umeanza kuonekana Chadema siku Kama hizi miaka ya akina Slaa na Lowasa Chadema mitaani kote kulipambwa bendera za Chadema na kila Kona nyimbo za Chadema Chadema people's power ziliimbwa
Siku za mikutano ya Chadema daladala zilizidiwa uwezo watu walikanyaga kwa miguu toka mbali kuhudhuria mikutano ya Chadema
Sasa hivi hadi uzinduzi tu unatia huruma
Tundu Lisu naona keshaanza kupata meseji kuwa Sio popular na Hana nyota ya kuvuta watu wengi kwenye mikutano Kama ealivyokuwa akina Slaa na Lowasa Hana mvuto kabisa yaani crowd pulling ability ambayo Ni muhimu Sana kisiasa kuliko hata hotuba
Lowasa akihutubia sekunde tu lakini umati aliokuwa akikusanya Ni mkubwa mno
Lisu ana hotuba ndeeeeefu kwenye crown ndogo!!!!?
Tuliona Enzi hizo za Lowasa na Slaa mikutano Yao inajaa kiasi kuwa Huwezi piga kwa camera ya kawaida mikutano ilipigwa kwa drones zilizorushwa angani lakini Sasa hata ukiwa na Nokia tochi waweza piga mkutano wote wa Chadema
Inadikitisha Baada ya uchaguzi Mbowe ajiuzulu tu apishe mwingine.
Bila kumeza maneno Hali Chadema Ni mbaya mwenye macho hahitaji kuambiwa tazama aangalie tu idadi ya wahudhuriaji kwenye mikutano ya kampeni ya Uraisi ya Chadema