Uchaguzi 2020 Pengo la kukosekana Slaa na Lowassa laonekana wazi CHADEMA

Basi waipaishe Ccm kwa sasa inayotumia wasanii,kugawa tisheti na kofia na khagha,hata Mimi takwenda kwenye mikutano kwa ajili ya burudani tu
 
Slaa alikua padri na makanisayaliunganna kumpinga Kikwete. Slaa Hakua popular zaidi ya udini ulitumika.
Lissu anakubalika sana kuliko magufuli na ni bora mara milion
Haya wewe wasema. Nasubili nikuone kwenye maandamano ya amani.
Munaanzia wapi kweli?
 

Kama ccm ilivyoishinda cdm kwenye uchaguzi wa SM.
 
Hayo ya lowassa mi cjui ila Slaa ndo aliyeiimarisha CDM sasahivi hata mikutano yao siendi mtu Hana hoja akimbilia nkipigwa risasi 16 cjui anataka kupata naye alipizee au? Zengwe mpaka wajielewe
 

Nyie ndio mnaolipwa na Dr Zack wa Twitter?
 
Matusi yann kaka?

Siasa amani na upendo....

Hata chadema ikishinda hutapata chochote wala maisha yako hayatabadilika...

Calm down bro[emoji3][emoji3]
Ukitaka kujua wanaccm wote ni majuha, hakuna mwenye wazo tofauti, wote mnakuja na picha hizi hizi. Kila mmoja ana copy hiyo hiyo na kuweka maneno.
 
Kama Chadema haina nguvu mbona mnawaengua wagombea wake bila sababu za maana?

Wacheni kujidanganya, Chadema is here to stay.
 
Ukiniambia Pengo la Dr Slaa nitakuelewa,ila Lowassa hapana.Huyu ndio aliyeifanya CDM sasa hivi iwe hivi,aliiharibu pakubwa mno
 
Slaa na Lowassa, waliwaingiza Chadema cha kike🤣🤣
 

Pengo la Lowassa/Slaaa!!You must be joking!! Afadhali ungalisema Slaa kwani Lowassa = Membe = Zitto. Act wazalendo imekula kwao! Walivuruga 2015 what else do you expect? Naamini Wazalendo hawapati mbunge hata mmoja Bara labda visiwani ni 4 (nne). CUF = Capital ZERO. CCM haipo tena ICU ile ya 2015!!! Dalili(symptoms) zipo kwani wabunge 18 washapita bila kupingwa kana kwamba hakuna vyama 17 vya upinzani Tanzania. Kama kimoja kimeenguliwa vipi aspirants(wabunge watarajiwa) wa vyama vingine????? Tatizo ni ‘EGOISM’. Period.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…