Uchaguzi 2020 Pengo la kukosekana Slaa na Lowassa laonekana wazi CHADEMA

ANATUFOKEA BADALA YA KUHUTU BIA DUUU
 
Kwa mazingira ya kisiasa yalivyo tangu 2015 mpaka leo hakika Lile nyomi la mbagala limetuma message kwa watawala kwamba upinzani hauwezi kufa
Nyomi? Wewe utakua siyo mzima. Wenzio Jana wamelala na stress, we unaleta propaganda za kijinga
 
Kama hana mvuto wa kisiasa kwanini mnatumia nec kupanga matokeo, hadi wananchi tunachaguliwa viongozi wetu.. Nchi inamambo sana hii
Wafate sheria na sio NEC mlishaambiwa aatu wenunwapate msaada wa kisheria lakini hamtakia kusikia CCM wanachukuwa form kisha kwa pamaoja wanaenda kujaza wakisimamiwa na wanasheria wao, sasa nuinyi huyo TL na Kibatala sijui wana kazi gani huko?
 
Huu ndio ukweli ambao chadema wanaujua lakini hawataki watu wauseme .
Chadema ni vinega.
 
Kwa mwaka huu tunaenda na CHAUMA. Mtu pekee anaetarajiwa kutoa upinzani kwa mzee RUNGWE kwa mbaaali sana labda ni JPM tu.
 
Piga Chini,Chadema ni taasisi ya Umma ina wanachama nchi nzima, Kuwepo kutokuwepo kwa Slaa na Lowasa hakupunguzi wanachama wengine.#YEHODAYA hujakuwepo katika uzinduzi wa kampeni za Chama Makini ndio sababu unawayawaya!

Bendera za Chadema kutokuonekana mitaani si sababu yenye mantiki maana hata vyama vingine vina bendera lakini hakuna wanachama.

Chadema kinazidi kuungwa mkono na watanzania walio wengi mara baada ya kuonekana chama hiki kina nia ya dhati ya kuwakomboa watanzania katika madhila ya utawala wa kibabe uliodumu kwa zaidi miongo sita.
 
mm nililiona hili mapema sana. kwanza kumbuka hata walivyokuwa anakusanya wadhamini hakuwa na umati wowote kwani watu walikuwa wakishangaa pikipiki wanapita barabarani na masokoni alafu anasema amepokelewa na umati kumbe watu walikuwa wakimshangaa. hili nilijua mapema sana. alafu hana mvuto yuko paparapara sana na kuangaliangalia km vile mtu anaiba kitu fulan kutazama huku na kule yaan hajatulia kabisa
 
Kura 2M akizipata nipigwe ban.



MAGUFULI4LIFE.
 
Nakubaliana nawe mkuu. Ni sawa na huku Kyela, CHADEMA bila Abraham MWANYAMAKI mgombea Ubunge 2015, hakuna mtikisiko, ushindani na mvuto wa Uchaguzi Mkuu 2020.
 
Hakuna Pengo labda unazungumzia Pengo Askofu wa Dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…