Peniela (Story ya kijasusi)

LEGE, Sasa badala ya kutuwekea kwanza tumalizie peniela, we unatiririsha nyingine. Twambie bas kama hii story huendelei nayo watu tujue tusikusumbue.
 
Hatimaye Na Mimi nasubiri kwenye foleni, nilijiona mjanja kuchelewa kuanza kumbe mbele kulikuwa Na likizo ya wiki mbili! Aaaaaghhh!
Aaaaah kumbe unanionea wivu kuchelewa unataka niteseke kama wewe eeeh?
Sitakiiiiiiii nasubiri hadi iishe.
 
Aaaaah kumbe unanionea wivu kuchelewa unataka niteseke kama wewe eeeh?
Sitakiiiiiiii nasubiri hadi iishe.
Hahahaha!, kwa kusubiri huku natamani ningekuwa sijaanza kusoma hii kitu!, inateka akili balaa!, juzi nimenunua gazeti nimeishia kumwachia mshikaji, kisa?, Peniela!, kwenye majukwaa mengine sijapita kabisaaaa,asubuhi hii ndio najua kumbe UKUTA umejengwa vichwani Na sio barabarani ✌!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…