Peniela (Story ya kijasusi)

...baado nawaza ikiwa rais atamuona peniela itakuwaje?? Je atatoka na kisaduku mle ndani?? Je rais ataedeleza udhaifu wake kwa peniela ......na VIP kuhusu Mathew na anitha ambao wapo inje wakisubri nn kitamtokea peniela mule ndani?? .....Anna kasahambiwa ukweli wa mambo na Mathew VIP atamuani elibariki ikiwa baba yake (Dr Josh ) amemsafisha?? ....je Dr josh atakubari mpango wa ujumbe wa marekani kuhusu mgombea urais??? ....Je Mathew akimpata elibariki atamuacha hai?? ...VIP John amezikwa au baado km kazikwa anazikwa wapi tz au marekani??...VIP kuhusu kirusi Anna atajua kilipofichwa ikuru??
Nawaza mambo kwa kina na baado majibu sina .....LEGE pekee ndiyo ameshikiria hatima ya maswali haya machache kati ya mengi niliyonayo
 
Uswahili una maana tatu
01.Ni mtu wa pwani(anaeishi pwani)
02.Ni mtu anaependa kukaa vibarazani na kupiga soga
03.Ni mtu anaeongea kiswahili

[emoji125] nadhani nimekujibu [emoji125]
Uswahili uwe mtu???? Hiii sasa kali[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
MKAO WA KULA PENIELA RASMI INAKUWA HEWANI WEEK END JMOSI .PUNGUZE MUNKARI WAKUU NA TUOMBEANE UZIMA. NA ASIPIGWE BURN MTU.
Sasa ukiondoka hapa katikati ndo tutakuwa tumeikosa? Dah
 
utafikiri kalipia? wakati hiyo story ipo kuleee kwenye group yake ya watsapp so mvivu wa kwenda kuitafuta mwepesi wa kulala mika
0758844240 niunge kwenye hiyo group hatakama kunakulipia poa tu
 


MZIGOO HUO HAPO KAMA UTAHITAJI KUMUUNGA MKONO MWANDISHI SIO MBAYA JAPO UKIMCHANGIA PESA YA WINO TUU.SIO LAZIMA LKN MAANA WENGI WALIKUWA WANA HOJI NI VIPI MTUNZI ANAFAIDIKA NA KUNUFAIKA?? KWA HIYO SEASON 1 TUU NI 4500 TZS.

namba ya mtunzi 0764294499. au kama ukitaka kulipia ili aweze kukutumia ili uondokane na kero ya kuja kuchungulia jf nayo sawa mcheki hapo.but mzigo now utamwagwa mwanzo mwisho.

na wale mlio kuwa mnalalamika kuwa nawazingua bandiko hilo toka kwa mtunzi so kuweni wapole
 
Semeni nyie nikisema mimi naambiwa nina Keleleeeeee.LEGE unaona destruction ya life za watu uliyosababisha.
 
kwahiyo atanitumia kwa njia gani sijaelewa yani kwa email au? (Soft copy or hardcorpy)
 
Mmmmh inaonekana mie nimepitwa sana niliishia season 1 sehemu ya 10 kumbe iliendelea??? mbona hata sioni muendelezo
 
utafikiri kalipia? wakati hiyo story ipo kuleee kwenye group yake ya watsapp so mvivu wa kwenda kuitafuta mwepesi wa kulala mika
kumbe kuna group ya whassap kabsaa sasa mtu akiungwa leo ataipata kweli au inakuwaje?
 
Ulishaambiwa hii ni simulizi ambayo kila unachokitegemea huenda tofauti kabisaaaaa


Kwa season zote nne zilizoisha hakuna hata mmoja kati yetu aliyekuwa anajua kinafuata nini
jamani hizo season 4 mbona sizioni mpaka natamaani kulia.
 
Lege ubalikiwe ukitoka job pita kibandani kwangu apa nnapouzia machungwa uchukue ya juice
 
Lege ubalikiwe ukitoka job pita kibandani kwangu apa nnapouzia machungwa uchukue ya juice
hahahha haina shida mkuu niandalie yakutosha nifanye maandalizi ya week end hiyo jmosi hakuna kutoka na j2 ni mwendo wa peniela mpaka ifike mwisho.

nikimalizana na peniela nahamia kwa hussen TUWA WIMBO WA GAIDI.nikishika kitabu hakuna kukiweka chini nazani tutaonana baada ya wiki kadhaa mbele huko mbele.naviporo vingi sana vya kupasha moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…