Mkuu tunausubiri mzigo tufanye hitimisho.Heshima yako mkuuu ... salute LEGE.WAKUU VUTENI SUBILA KIDOGO MZIGO ULIO BAKIA NI KAMA ROBO SO NAUMALIZIA WOTE LEO HII HII KUNA MAMBO NAWEKA SAWA HAPA THEN NITAUTUPIA
Sawa mkuuWAKUU VUTENI SUBILA KIDOGO MZIGO ULIO BAKIA NI KAMA ROBO SO NAUMALIZIA WOTE LEO HII HII KUNA MAMBO NAWEKA SAWA HAPA THEN NITAUTUPIA
Dani yupo kwenye uzi upi mamyNi sheeda
Huku kuna Peniela ambae ajawahi kukatalia mwanamme aliemtongoza. Kamkosa Methew tu.
Kule nae kuna Danny mtaalam wa kupaka mate nae ajawahi kumkosa mwanamke labda yule wa mwisho walivyokuwa na Osama
Mmh taratibu jaman maana huku sio kwa wakubwa unaweza jiachia ikawa sooo kwa Mods
NI KWELI MKUU ULIKUWA UNAWAHI CHURCH??
usije kushangaa ata Mathew akapotea kama Anitha.Mhhh nimevurugwa jumla....matukio yanakuja sijui yameanzia wapi dah....
Limetulia mkuumkuu tumbo linakuuma tena
Mathew bila Anitha labda kuwe na part two ya kitabu lakini kama hii ndio final Mathew ataishia kuchukua kitengo fulani nyeti cha mambo ya usalamausije kushangaa ata Mathew akapotea kama Anitha.
Haya mambo I think yatakuepoMmh ivi aya mambo yapo kweli ktk dunia alisi maana ni shida
Ni kweli mkuu nilitegemea hata kile kirusi alivyokichukua kutoka kwa Anna angekificha sehemu ambayo ni ngumu kuona mtu yoyote.Au angeweka kisanduku feki pale alafu Peniella angehangaika nacho mpaka akome.Na mm leo ngoja ncomment, kwanza kulingana na uzoefu wangu mwandishi amemfanya Mathew character Jasus mwenye kosa la kizembe sanaa ambalo KUAMINI. Majajusi hawaamini mtu kirahisi vile kama kuokota watu from nowhere na kuwaleta kwenye HQ. Lingine ni confidence.