Peniela (Story ya kijasusi)

Peniela (Story ya kijasusi)

Dah majabali yote yanakufa kwa pamoja...Deus na Joshua?inaelekea hapo city mall kulitokea mtiti kama ule wa London has fallen down au White house down.Dah huo mtiti ni kiboko
 
Mtunzi kwanini ametaka kumaliza haraka hivi?Ila nimefurahi Lucy mtoto wa Deus kufa maana alitaka kuwatoa kafara wazazi wake ila sikupenda President mstaafu Deus afe haraka hivi kwa sababu naona badoanahitajika anajua mambo mengi.Kirusi kina laana kila anayekigusa anapata balaa
 
Bado natafakari sielewi inamaana Peniella na Mathew watakuwa pamoja?Au Anna atapona kwa kupewa tiba ya Peniella?ninataka kujua Mathew atadate na nani baada ya shughuli ngumu....Au ndio yale ya Jack Bour kila anachogusa kinaharibika kwenye 24hrs....hata alivyompenda Audry
 
Lege asante sana ..samahani lakini mbona kunavipande vya mwanzo wa simulizi kama vimekatwa au kusahaulika..
 
Mkuu LEGE maliza mzigo huo tukuachie upumue maana tumekubana utafikiri tunakulipa kumbe tunapata bure tu.Lakini pia utushukuru maana tumekupandisha chati vibaya mno ukiongelea LEGE hapa jf ni number nyingine hiyo😀😀😀😀😀.sasa ole wako ubweteke ukimaliza hii tutakusau hivihivi.Hakikisha unafanya mambo ili profile yako iendelee kuwa juu🙂🙂🙂😉
 
ambao mnamkejeli mtunzi tungeni zenu!

japo mtunzi na yeye ametohoa vitu fulani fulani toka kwa muvi flan hivi ya jack chan inaitwa the accidental spy lkn haina kwele
 
Kiukweli Mwisho Sijaupenda Wahusika Hawa Mtunzi hakuwatendea Haki
Anita na Anna

Pia Mtunz kamshusha hadhi alokuwa nayo Mathew kwani uzembe wake wa kutokukiweka Kirusi ktk Sehemu Salama ndo uloleta Maangamivu ingependeza kama angefanikiwa kukitia Mikononi kuliko kazi yote na Damu ya Noah kumwagika pasina faida ilhali Mwaulaya alifanikiwa kutunza kirus leo Mathew kashindwa kukipata

Pia Kiujumla Mtunz kaonesha kuchoka Labda sababu ya Urefu wa Riwaya ama kutaka kuingia Sokoni lakini Kwa Ujumla Wahusika kawauwa kwa Mara moja na kutuaminisha hivyo ilhali akiicha Jamii kwenye Taharuki

Binafs nimekosa Raha kabisa
Binafsi nimemsifu sana mtunzi kwa jinsi alivyiweza Ku maintain tabia za Mathew.
Mathew tangu awali amekua na over trusting to whoever he comes to work or collaborate with. Amekua mzito sana katika kuchira mipaka. Angalia jinsi nyumba yake aliyokua akifanyia kila kitu ikiwemo kuishi lakini yeye alikua akileta hadi madaktari kuwatibu kinguvu mateka au majeruhi wake.
 
LEGE mkuu wangu kwa heshima zote mwaga mzigo mpaka mwisho kabisa tukuache free.alafu takupa likizo ya wiki moja ikiisha uje na kitu kikali zaidi ya Peniella.😉😉😉
 
Hii ndiyo hadithi nzr kila mmoja hakuja inaishaje, tungekuwa na watu wanaojua kuiandika kwenye scrip, na kuiigiza kama alivyo iwakilisha mwandishi, huenda ingekuwa video bora kabisa kuwahi kuwepo ktk africa...

Tatzo linalotukumba ni mitaji, teknolojia na waigizaji, ndiyo maana unakuta story kama hii inauzwa 4500,bt ilifaa iuzwe zaidi ya hapo, na mmliki wa story hii nw angekuwa tajir mkubwa...

Mwisho nimpongeze, japo cjui kama imeisha ila amejitahita, yapo makosa machache kwenye kuchanganya majina, badala ya kumtumia anita, kunakipindi akatumia penieli,

Halafu pia imeonekana kuwa kunaudhaifu mkubwa ktk ulinzi wa rais,

Wengi hawakupenda alivyo maliza, ila huo ndiyo uandishi...
 
Back
Top Bottom