Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binafsi nimemsifu sana mtunzi kwa jinsi alivyiweza Ku maintain tabia za Mathew.Kiukweli Mwisho Sijaupenda Wahusika Hawa Mtunzi hakuwatendea Haki
Anita na Anna
Pia Mtunz kamshusha hadhi alokuwa nayo Mathew kwani uzembe wake wa kutokukiweka Kirusi ktk Sehemu Salama ndo uloleta Maangamivu ingependeza kama angefanikiwa kukitia Mikononi kuliko kazi yote na Damu ya Noah kumwagika pasina faida ilhali Mwaulaya alifanikiwa kutunza kirus leo Mathew kashindwa kukipata
Pia Kiujumla Mtunz kaonesha kuchoka Labda sababu ya Urefu wa Riwaya ama kutaka kuingia Sokoni lakini Kwa Ujumla Wahusika kawauwa kwa Mara moja na kutuaminisha hivyo ilhali akiicha Jamii kwenye Taharuki
Binafs nimekosa Raha kabisa
ambao mnamkejeli mtunzi tungeni zenu!
japo mtunzi na yeye ametohoa vitu fulani fulani toka kwa muvi flan hivi ya jack chan inaitwa the accidental spy lkn haina kwele
Ntumie no yakupata kitabu ukiweza na ya mtunzi...WAKUU VUTENI SUBILA KIDOGO MZIGO ULIO BAKIA NI KAMA ROBO SO NAUMALIZIA WOTE LEO HII HII KUNA MAMBO NAWEKA SAWA HAPA THEN NITAUTUPIA
Mkuu wikiend ndio hiyooo inayoyoamaaWAKUU VUTENI SUBILA KIDOGO MZIGO ULIO BAKIA NI KAMA ROBO SO NAUMALIZIA WOTE LEO HII HII KUNA MAMBO NAWEKA SAWA HAPA THEN NITAUTUPIA