Peniela (Story ya kijasusi)

Peniela (Story ya kijasusi)

WAKUU VUTENI SUBILA KIDOGO MZIGO ULIO BAKIA NI KAMA ROBO SO NAUMALIZIA WOTE LEO HII HII KUNA MAMBO NAWEKA SAWA HAPA THEN NITAUTUPIA
Mkuu tunausubiri mzigo tufanye hitimisho.Heshima yako mkuuu ... salute LEGE.
 
Kweli sijapenda inakoishia, waaminifu kama Anitha na Anna wamekuwa na mwisho mbaya badala I kupokea taji zao, pamoja na kukatwa kwa mambo mengi ambayo yangekuwa pengine chachu ya kuhamasisha watu kununua kitabu hiki.

Makosa ya kisarafu na wahusika palistahili kuita anna-anitha, Josh-Joshua, garini, ndegeni, simuni, nk.
 
LEGE asante Mkuu kwa kutenga muda wako na fedha yako kutupia kitu hii. Maliza utupigie WIMBO WA GAIDI TUCHEZE NAO
 
Tuko hapa tunasubiri mkuu😱😱😱😱😱😱
 
Ni sheeda
Huku kuna Peniela ambae ajawahi kukatalia mwanamme aliemtongoza. Kamkosa Methew tu.
Kule nae kuna Danny mtaalam wa kupaka mate nae ajawahi kumkosa mwanamke labda yule wa mwisho walivyokuwa na Osama

Mmh taratibu jaman maana huku sio kwa wakubwa unaweza jiachia ikawa sooo kwa Mods
Dani yupo kwenye uzi upi mamy
 
Mhhh nimevurugwa jumla....matukio yanakuja sijui yameanzia wapi dah....
 
usije kushangaa ata Mathew akapotea kama Anitha.
Mathew bila Anitha labda kuwe na part two ya kitabu lakini kama hii ndio final Mathew ataishia kuchukua kitengo fulani nyeti cha mambo ya usalama
 
Mmmh hili pishi jipya kama silielewi. Sipati muunganiko kutoka sehemu ikiisha kwenda sehemu nyingine. Utamu haukolei.
 
Asante lege ipo twist,betray and un expected.ni nzuri kuliko kujua mwisho utakuwaje.ingawa hao wengine waliokufa kama rais hawakustahili kifo cha haraka.walistahili kuteseka kidogo.kifo cha anita kinasikitisha hakuna justice yoyote kutoka kwa peniela.maybe mwisho utamalizia tofauti
 
Mmh ivi aya mambo yapo kweli ktk dunia alisi maana ni shida
 
Mkuu LEGE its almost time si unajua tena wkend inayoyoma🙁🙁🙁🙁🙁🙁.Nakuamini lakini ukuamua unatekeleza
 
Na mm leo ngoja ncomment, kwanza kulingana na uzoefu wangu mwandishi amemfanya Mathew character Jasus mwenye kosa la kizembe sanaa ambalo KUAMINI. Majajusi hawaamini mtu kirahisi vile kama kuokota watu from nowhere na kuwaleta kwenye HQ. Lingine ni confidence.
 
Ahadi sio deni LEGE natumaini unakuja mkuu kwa kuwa njaa inauma sana😕
😕😕😕😕
 
Na mm leo ngoja ncomment, kwanza kulingana na uzoefu wangu mwandishi amemfanya Mathew character Jasus mwenye kosa la kizembe sanaa ambalo KUAMINI. Majajusi hawaamini mtu kirahisi vile kama kuokota watu from nowhere na kuwaleta kwenye HQ. Lingine ni confidence.
Ni kweli mkuu nilitegemea hata kile kirusi alivyokichukua kutoka kwa Anna angekificha sehemu ambayo ni ngumu kuona mtu yoyote.Au angeweka kisanduku feki pale alafu Peniella angehangaika nacho mpaka akome.
 
Back
Top Bottom