Peniela (Story ya kijasusi)

Enzi za john weeee!!!!!!
 

Attachments

  • 1473946106541.jpg
    32.2 KB · Views: 450
Danny anazingua tu. Mtunzi mvuvu Wa kufikiri hivyo zaidi ya nusu ya story kaamua kuizungushia camera ili akina dani waone kila kitu.
Inaboa sana ile story.
 
LEGE baki huko huko, hata hamna haja tena ya kuendelea na story yenyewe, maana naona watu waishaanza kujitungia zao, wengine wameishavaa uhusika, naona bado ku bet tu ndio kimebakia.
 
Danny anazingua tu. Mtunzi mvuvu Wa kufikiri hivyo zaidi ya nusu ya story kaamua kuizungushia camera ili akina dani waone kila kitu.
Inaboa sana ile story.
Alafu story yenyewe ya upande mmoja tu
Mi najiuliza wapi yule babu waziri mkuu waliemwacha msituni
Vipi kuhusu Babyanka yaani yupo yupo tu
Vipi nae Winy
Vipi kuhusu yule jenerali wa kimarekani nae kakaa tu
Yaani kwa ujumla wake pale tupotupo tu kwa sababu tunapenda story za kipelelezi
 
Nimekuta notifications za kutosha nikajua Lege kaleta uhondo kumbe ni watu wanatuma mapicha[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji379][emoji379][emoji379]
 
Baada ya kumaliza hii storry, ngoja sasa nirudi kwa Danny niangalie kilichowekwa.. after that niende Kf
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…