Peniela (Story ya kijasusi)

LEGE The brother, tushatoka makazini em shusha kitu kaka wakati napata dinner hapa.

Cc: LEGE Himself

Brgds,
John Mwaulaya Albert
 
Dah mtunzi wa stori hii Patrick C.K ni mahiri sana kwenye maswala haya ya kijasusi labda na yeye amewahi kuyapitia..
Riwaya zake nyingine kali nikiwahi kuzisoma ni SERENA na nyingine ilikuwa na jina la kiinglish hv
Huyo jamaa hajaweka contact? Utuwekee maana wengine facebook hatupo.
 
Mh ndo huyo Kaja kivingine , anataka tununue nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…