Peniela (Story ya kijasusi)

Peniela (Story ya kijasusi)

Acha roho mbaya
Ungejua toka asubuhi nimeshindwa kufanya kazi. Hadi muda huu sijalala,
Kisa Lege ashushe mzigo. Kila nikijaribu kulala nikiikumbuka hii story usingizi unapaa.
Lege please... Japo kidogo tu tupate usingizi
 
Oya nyie mnaoleta mapicha picha acheni kutujazia uzii kwa utoto wenu.sio wote tunafurahia hiyo mapicha yenu.
 
Amruhusu lege aimalizie...ila lege hakusema ni yake bali he acknowledged the writer....no plagiarism here
 
[emoji102] vipi bado hamna chochote tuone huruma wengine hatukutanishi vikojoleo usiku story ndio kipoozeo chetu[emoji39]
 
  • Thanks
Reactions: Ilu
[emoji102] vipi bado hamna chochote tuone huruma wengine hatukutanishi vikojoleo usiku story ndio kipoozeo chetu[emoji39]
sasa kama play boy hukutanishi hvyo vya mkojo cjui kwa wengne hali ikoje
 
Man LEGE, tafadhari pita tu hapa utupe Hi,Tujue hali yako ikoje.

Brgds,
John Mwaulaya Albert
 
Kama imeshindikana Peniela bassi salaamu utupe..
 
Wakuu, mpaka sasa nina mashaka kama LEGE ataendelea. Kwa mujibu wa Patrick (Mtunzi), kila season ni Tsh. 3,000 na sasa Riwaya iko season ya 4 season ya 5 ndiyo ya mwisho.
Nadhani hata Mkuu Lege salikuwa ananunua halafu anatumegea nasi.
 
Wakuu, mpaka sasa nina mashaka kama LEGE ataendelea. Kwa mujibu wa Patrick (Mtunzi), kila season ni Tsh. 3,000 na sasa Riwaya iko season ya 4 season ya 6 ndiyo ya mwisho.
Nadhani hata Mkuu Lege salikuwa ananunua halafu anatumegea nasi.
Elfu 18 jumla? Weka contact za mtunzi hapa
 
Yeah aisee mkuu tupia contacts za mtunzi tununue tu kama ndo hvo
 
Je? Iko published tayari? Je madukani inapatikana?
 
Back
Top Bottom