Ukwl uko frustrated nahisi ww (Peniela) ulikuwa na Lege unampa vitu vitamu ndo maana mzigo umechelewa.Kimsingi nimekuwa frustrated kabisaa
Danny hafaiiDany hovyo tu...mtunzi mvivu...
Ukiisoma hii huwezi kurudi kule tena.
Danny hafaii
Kuna bahadhi ya mambo ukiyabashiri yanakuja kama ilivyo......Mwisho wa story Mathew atamsaidia Peniela kuwajua ndugu zake kwa kupitia matukio yaliyofanywa na john
Anitha ataangukia mikononi Jason kwani keshaonyesha dalili za kumpenda
Jaji Elibariki yeye ataishi na Peniela kwani Flavian atadedi
Mathew atamuoa Anna baada ya Mathew kuyaanika mabaya yote ya baba yake
Dr Joshua yeye atapanda kizimbani baada ya ushahidi kupatikana wa kumuua Edson, mke wake na kutumia ofisi vibaya
Rais mstaafu mr Deus kwa kushirikiana na brigedia........
Niishie hapo kwanza
Inatia kichefuchefu kwa kweli basi tu tulikosa kitu roho inapendaahahahahahha...ile hata siipost tena...ameleta nyingine hiyoo...yaani ni hovyooo..eti mtoto wa jinni karudi
Hatimaye nimemaliza
Kuna bahadhi ya mambo ukiyabashiri yanakuja kama ilivyo......
Tusubiri tuone
Unahitaji kupakatwa?Umeulizwa??