Peniela (Story ya kijasusi)

Peniela (Story ya kijasusi)

Mwisho wa story Mathew atamsaidia Peniela kuwajua ndugu zake kwa kupitia matukio yaliyofanywa na john
Anitha ataangukia mikononi Jason kwani keshaonyesha dalili za kumpenda
Jaji Elibariki yeye ataishi na Peniela kwani Flavian atadedi
Mathew atamuoa Anna baada ya Mathew kuyaanika mabaya yote ya baba yake

Dr Joshua yeye atapanda kizimbani baada ya ushahidi kupatikana wa kumuua Edson, mke wake na kutumia ofisi vibaya
Rais mstaafu mr Deus kwa kushirikiana na brigedia........
Niishie hapo kwanza
Kuna bahadhi ya mambo ukiyabashiri yanakuja kama ilivyo......
Tusubiri tuone
 
Asante sana LEGE, nimefika hapa. Very interesting.
 
Shukrani.. kwa hadithi LEGE ila usisahau kushusha jioni mzigo wa kutosha ili tuipokee weekend tukiwa tunasoma storry na siyo bar
 
We lege kwakweli nakulaumu kwa kunifanya macho yaniume na nilale saa tisa kisa nasoma story yako
 
Thenks LEGE Leo siku ya 4 sijasoma jambo lolote jr zaidi ya hii story Na nimeweza kulingana Na walio iyona kuanzia Mwanzo
Thenks tena ngoja nisubirie hiyo ijayo maana tusha maliza swala
 
Back
Top Bottom