Peniela (Story ya kijasusi)

Yaani katika hii storie huyu mzee nimetokea kumpenda sana. Nasubiri mtanange wa mwisho kati ya John na Mathew

Cc: John Mwaulaya Albert
Mathew ni noma zaidi mkuu.akili yake inaunganisha dots haraka ingawa John ana experiance ya ukurumbembe zaidi ya Mathew.
 
John ameua wazazi wa Penny na sio kwa bahati mbaya amekusudia.huyu siwezi kumsupport.damu ya mtu haiendi hivihivi....
Siyo kweli kwamba aliwaua makusudi, alimuua mamake Peniela kwa maelekezo ya babake. Pia alimuua babake baada ya kutofautiana pale darajani, kumbuka baada ya Mwaulaya kufanya mauaji ya mama akamuacha mtoto na kumpigia wakutane darajani babake alipokuja na kuonyeshwa mtoto alimulaumu sana John kwa nini hakumuua mtoto, akawa anamlazimisha amuue, ndipo John akamuua babake na Peniela huku akisema "siwezi kuua kiumbe kisicho na hatia.
Naamini Peniela atamsamehe mzee John na hata kumshawishi Mathew naye amsamehe.
 
John ameua wazazi wa Penny na sio kwa bahati mbaya amekusudia.huyu siwezi kumsupport.damu ya mtu haiendi hivihivi....
Ata kama ameua lkn angalia alivyomlea peni ata peni kuna mda akikumbuka mazuri aliyomfanyia nguvu za kisasi zinaisha
 
Mathew ni noma zaidi mkuu.akili yake inaunganisha dots haraka ingawa John ana experiance ya ukurumbembe zaidi ya Mathew.
Ila John ni mwisho, labda tu azidiwe kwa kua ni mgonjwa, but under normal circumstances Mathew atasubiri sana kwa John
 
Yaani katika hii storie huyu mzee nimetokea kumpenda sana. Nasubiri mtanange wa mwisho kati ya John na Mathew

Cc: John Mwaulaya Albert
Tusubili tuone itakavyokua naomba tu afya yake iwe imara
 
Mkuu nimekuelewa sasa vizuri lakini bado John mambo anayoyafanya sio halali .
 
Nakubaliana nawe ndugu 100%, John ni MTU moja mzuri sana
 
Ila John ni mwisho, labda tu azidiwe kwa kua ni mgonjwa, but under normal circumstances Mathew atasubiri sana kwa John
Mathew ni wa kisasa zaidi na ana network hawezi kukwama kumbuka ana marafiki mpaka Mossad sasa mmarekani mwenyewe anamheshimu muisraeli so Mathew nomaaa
 
Lakini nahisi katika hao wawili John na Mathew kuna surprise nyingi zitakuja.umdhaniaye siye lets wait for LEGE
 
Mkuu nimekuelewa sasa vizuri lakini bado John mambo anayoyafanya sio halali .
Ni kweli, hata John mwenyewe analijua hilo, na ndiyo maana kila akionana na Peniela anajuta kwa yale aliyoyatenda. Kuna mambo mengine mtu huyafanya si kwa kupenda bali ni kutekeleza majukumu ya kikazi. Kumbuka hata Mathew amesababisha kifo cha Sabina tena kwa kumbishia Daktari, lengo likiwa ni kutekeleza majukumu na kupata taarifa muhimu, mpaka Eva akamuita Monster.
 
Nini kimeandikwa ktk yale maandishi ya kisayansi.....
Mathew kafungue email utuambie......
 
Mathew mpaka sasa naamini anafanya kazi yake kizalendo ana uchungu na nchi yake but John no
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…