Dah sijui kwanini sipendi fumanizi litokee lakini siku Peniela akishikwa na Mathew nafikiri ataimba nyimbo za kichina maana Mathew ana ukame balaaMathew atakuja kutafuna Peniela baada ya Elibariki kufumaniwa na Naomi
Karibu mkuu tunasubiri mzigo wajioni uwekwe tujiandae na kazi kesho.Nimemuita sana LEGE lakini kimyaaaaDaah, yaani interval ya Jana jioni na Leo nimekuta nimepigwa gap la hatari. Wadau, Nimejitahidi sana kuwakimbiza Leo mchana hadi nimewapata, japokuwa njiani nimekumbana na changamoto za mbonji ndo maana nimechelewa kuwapata mapema.
Wameshamuwahi dah alikuwa anacheza kotekoteDah! huyu Amos kama ni spanner au funguo basi malaya kwa maslahi kwanza kama Teabag wa Prison break.
Mkuu msamehe aliomba msamaha na kutubu najua una hasira naye mbayaRip john "the devil"...
LEGE
LEGE pls weka vitano vya kumalizia siku
LEGE kesho monday pls fanya mapema tumalize
LEGE weka 5 pcs tumalize siku
LEGE
LEGE delegate basi kwa watu wako kama uko busy
LEGE nataka nijitayarishe kwa job kesho naomba uje uweke 5 pcs .....pls
LEGE
LEGE
Dah ni kweli kabisa na Mathew akianza kula mzigo itakuwa balaa maana naye ana ukame wa muda.Lakini Peniella naye kama ameamua kutulia asichanganye
Mkuu mimi hata wasup facebook instagram kote niacha niko hapa namsubiria LEGE utafikiri ameniweka kwenye kichupa....poor me
LEGE LEGE LEGE LEGEEEEE its time tupia vitano vya usiku
54,897 ndio viewers wa simulizi hili mpaka sasa mkuu LEGE.na replies ni kama mia tisa na sasa ili usitupoteze hakikisha unakuwa consistency...MKUU LEGE UPO.Umehamishia JF kwenye thread yako tumekukubali sasa usichezee bahati kama hizi mkuu .
Haha haha hahaaa ukicheche upo lakini nafikiri atafika mahali atatulia dah ingekuwa inaacha alsma angekuwa na majipu kabisa
Ila Rosemary ana jeuri sijapata ona...dah
LEGE
LEGE mwaga vitu mkuu
LEGE weka 5 pcs
LEGE weka 5pcs or more
LEGEE LEGEE
LEGE
LEGE njoo ushushe vitano vya usiku
LEGE its almost time shusha vitu tujitayatishe kwa kazi kesho
LEGE wote tuko hapa tunasubiri pls shusha 5 or more tulale
Kikubwa anachosema ameumizwa sana sana kupoteza familia yake ambayo inamuwia ngumu kupenda tena.Nafikiri anataka kuchukua muda kwanza ili akipenda apende kweli na inaelekea yuko fit vibaya maana ile kumuona tu Peniela tayati mzigo ukasimika ndiiii.Kwa hiyo inonyesha siku siku akikamata demu ataimbamooo nyimbo zamababu wote .
Ues Kamkabidhi vizuri Mathew na hiyo ngoma otachezwa sawasawa
Dah sijui kwanini sipendi fumanizi litokee lakini siku Peniela akishikwa na Mathew nafikiri ataimba nyimbo za kichina maana Mathew ana ukame balaa
Karibu mkuu tunasubiri mzigo wajioni uwekwe tujiandae na kazi kesho.Nimemuita sana LEGE lakini kimyaaaa
Wameshamuwahi dah alikuwa anacheza kotekote
Dah!!! Kiongozi!!MKUU LEGE jitokeze hadharani umwage vipande 5 au zaidi ili tulale maana kesho job na giza limeingia nakusubiri wewe tu.Je unakuja ama...m..?
Mkuu nashukuru kwa ushauri.hata hivyo nikiwa kama member alafu hapa ni free nikajikuta nafanya hivyo kwa sababu tu leo niko na hii story tu otherwise nikiwa busy sina muda wa kufanya hivi.Implications zote ulizoongelea nilizifikiria kabla ya kuandika lakini nilijisikia kufanya hivi kwa leomkuu. cheersDah!!! Kiongozi!!
Naona umejimilikisha Thread nzima.
Ila hauoni kuwa unamtengezea LEGE notifications nyingi isivyo lazima? Anaweza aka ignore hizo notifications na mwisho akajikuta ana ignore notifications muhimu kwake.
Kikubwa na kizuri ni kuwa yupo responsible ni vizuri tumuamini, hajawahi kutuangusha.
Pia mkuu nafikiri ni haki yangu ilimradi sijamtukana mtu zaidi ni kwamba hii story nimeipenda na sidhani kama mtu ukiwa free na kupenda kitu na kuchangia ndio umejimilikisha mkuu kila mtu hapa yuko free.Lakini mtu pekee niliyemtaja sana ni LEGE kama amedhurika hilo naweza kumuomba msamaha.Dah!!! Kiongozi!!
Naona umejimilikisha Thread nzima.
Ila hauoni kuwa unamtengezea LEGE notifications nyingi isivyo lazima? Anaweza aka ignore hizo notifications na mwisho akajikuta ana ignore notifications muhimu kwake.
Kikubwa na kizuri ni kuwa yupo responsible ni vizuri tumuamini, hajawahi kutuangusha.
Mkuu kwa mawazo yangu nafikiri Eva anamuuliza Mathew kama kaka anamtakia mema maana anaona kukaa bila mwanamke kunaweza kukaleta matatizo saicologicaly kwa mawazo yangu ninavyoonaSasa eva wivu wa nini...??..kwani yeye hana mupenzi...???...kashamind flag ya mathew the intelligence..
Hahaha, Ngoma inogileUes Kamkabidhi vizuri Mathew na hiyo ngoma otachezwa sawasawa
Hahahh kamtaman penielaLakini huyu Matthew nae ana matatizo. Kwani hajui kama kazi na dawa. Hata wenzie akina Willy Gamba walikuwa wanawatafuta warembo na kuwagegeda swafi kabisa. Lakini Matthew simsomi. Anitha alijaribu kuchombeza lakini jamaa akamchomolea kiaina. Hebu tuanze kufanya upembuzi yakinifu
Hahahh kamtaman peniela
56,998 wameview thread yako mkuu LEGE na zaidi ya 1,000 wamechangia thread yako.Congratulations LEGE.Baada ya kukupa habari hizo ambazo hata wewe unaweza kuziona .tushushie mzigo mzigo mpya basiiiiiii