mambo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 2,371
- 5,602
Dah sijui kwanini sipendi fumanizi litokee lakini siku Peniela akishikwa na Mathew nafikiri ataimba nyimbo za kichina maana Mathew ana ukame balaaMathew atakuja kutafuna Peniela baada ya Elibariki kufumaniwa na Naomi