Peniela (Story ya kijasusi)

Mungu msaidie Eli asikamatwee maana kaamua amtafune mtoto sebleni kabisa
 
Hii hadithi ili iwe nzuri, Eli should be a president, Peniel doesn't deserve to be a first lady kwa sababu nyapu yake inatumika sana, mission ikikamilia , Peniela should die!
Mathew should marry Eva!
Maweeeeee umeua mkuu kwahyo u want me dead?
 
Maweeeeee umeua mkuu kwahyo u want me dead?
Hapana, hiyo ni kunogesha story tu! Peniela amevaa uhusika vizuri katika nafasi yake! Pia jambo gumu kulifanikisha huhitaji nguvu sana na wakati mwingine kuwapoteza wapendwa wako. Pia hii inasaidia kubeba hisia za msomaji!

Ndiyo hapo sasa unakuta mtu anasoma novel au anacheki muvi character wake akibanwa msomaji anaanza kutoa machozi, that's an art!

Acha story ya Danny mpaka mate!
 
Sipati picha jinsi mabint wa Kibongo watakavyokuwa wakitoa papuch kama mkono wa salaam ili tu wafanane na Peniela!!
Japo hawana mission yoyote ile lakini wao watakua wakigawa tu kama Peniela, ili mradi kujiringanisha Naye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…