Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona eeee anajifanya ana uchungu na Penuel wakt Penuel mwenyew hata mshipa haushitukAta mm na mashaka nae
Hahahaha Mathew ni mtu wa Kazi angekuwa Danny hata Rosemary angeliwaNiliona kama eva alifall in love kwa mathew bada ya kumuuliza maswali kuhusu anitha nikajua badae watakuja kuoana tena wamekuja kukorofishana yaan unavyofkilia inakuja tofauti
Lazima wakamatwe mtoto Naomi dish limeyumba hivyo muda wowote akitaka mashine atamlazimisha Eli hata kama Penny akiwepo.Mungu msaidie Eli asikamatwee maana kaamua amtafune mtoto sebleni kabisa
HahahhhHahahaha Mathew ni mtu wa Kazi angekuwa Danny hata Rosemary angeliwa
Maweeeeee umeua mkuu kwahyo u want me dead?Hii hadithi ili iwe nzuri, Eli should be a president, Peniel doesn't deserve to be a first lady kwa sababu nyapu yake inatumika sana, mission ikikamilia , Peniela should die!
Mathew should marry Eva!
Hapana, hiyo ni kunogesha story tu! Peniela amevaa uhusika vizuri katika nafasi yake! Pia jambo gumu kulifanikisha huhitaji nguvu sana na wakati mwingine kuwapoteza wapendwa wako. Pia hii inasaidia kubeba hisia za msomaji!Maweeeeee umeua mkuu kwahyo u want me dead?
Maweeeeee umeua mkuu kwahyo u want me dead?
Hamko sawa nyny kazi ninayoifanya hamuioni kwa kutumia hyo papuchi?So you are Peneila? Nami nakubaliana na comment ya muuza ubuyu
Maweeeeee umeua mkuu kwahyo u want me dead?