Peniela (Story ya kijasusi)

Peniela (Story ya kijasusi)

Taari, ila kwa Wale tunaoona Mbali, at the End Elibariki will emerge as a Hero, Sina shaka yeye atachangia kwa kiasi kikubwa kupatikana kwa Hiki kirusi kinachowindwa.... Lets wait n see, time will tell
Siwezi kumuamini hata afanyaje.... Ila ngoja tuone maana... End justify the means...
 
Mazingira kwa jinsi yaluvyo Elibariki ataishia kujiua tu!! Mtu mwenye akili zake timamu kamwe hawezi akaufurahia Uhuru wa aina ile, Uhuru uliopatikana kwa njia za kisaliti...ni heri kuishi ndani ya shimo ukijisaidia humo humo na harufu za vinyesi na mikojo kuliko kuishi katika Uhuru uliopatikana kwa njia za kisaliti.
na kamwe hawezi kuaminika kwa alio wasaidia na alio wasaliti? hata huyo rose hawezi muamini kamwe
 
LEGE keep ur promise buana ulisema vi2 lunch time nilipanga kuitendea haki....dah anyway wacha nizurure tu sasa kuyeyusha msosi maana hamna namna. See u utapowaleta tena star staring
 
Pamoja na yote hayo Daudi1 na wengine nawakumbusha kuwa Elibariki ndio stelling
Sasa kama stelling anauawa poa?

Inshu nzima mi naona imejikita kijasusi zaidi, rosemery na Sc41 hawana nafasi ya kushinda vita hii, waliowategea sana hawapo, peniela ndo mtu muhim zaidi aliebakia na ndo yupo na methy, kumbuka methy alimwambia peniela " siwezi kukuacha hata jino moja! Ksb wewe ni mtu muhim" joshua na watu wake ndo mpinzani mkubwa aliebakia kwa methy, methy anashinda, sc41 outomatic inasambaratika kwsb wameshindwa kufikia lengo, na wamesalitiana sana, elibariki priizdaa!
 
Elibariki ame under go mental confusion.Kweli walie waliojiita kina Eli.Tatizo la kupata cheo kikubwa kwenye umri mdogo... hutamani tena kuangalia nyuma na kujitafakari.Sijuwi amekula nini huyu Eli!
 
Back
Top Bottom