Ncha ya kisu imegota kwenye mfupa, let them come..., via Ali kiba.Watu kwa kulialia tu hamjambo
Ndio maana Mnaambiwa mfanye kazi sio masaa ishirini na nne mpo mitandaoni kumlilia LEGE
jaribuni kushukuru kwa mnachokipata
Huyo LEGE mwenyewe nae anatafuta tonge ili familia yake iende chooni.
Kama vipi nendeni kwa Danny mzee wa kupaka mate kila kitumbua
Tehehe sio "uga limi"Huyu Elibariki lazima atakuwa anatokea kimandolu si bure kabisa
Mkuu hata sa hivi nimechoropoka mchezoni nilikiwa nachaji simu home. Nikasema muda huu kutakuwa na episode kadhaa za kusoma huku nakabenbeleza kabebi kangu kalale lakini nimeambulia patupu. Lege siamini kama umetuelibariki hivi!Ncha ya kisu imegota kwenye mfupa, let them come..., via Ali kiba.
Jana kuna member nilikua nasoma post yake huku, amesema ametoka kucheza draft akakimbilia humu kuona kama LEGE amerusha "kitu". Nilikaa nikawaza sana, sikupata jibu sijui ni asilimia ngapi tunaofatilia hii story au wapo katika mfumo huo wa maisha.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23], sawa mkuu nimetambua uwepo wakoMkuu hata sa hivi nimechoropoka mchezoni nilikiwa nachaji simu home. Nikasema muda huu kutakuwa na episode kadhaa za kusoma huku nakabenbeleza kabebi kangu kalale lakini nimeambulia patupu. Lege siamini kama umetuelibariki hivi!
Huyu kweli Akili TatuMwana vipi tena? Umeibukia wapi?
Huyu boya sana isee. Nimem mind kinoma nomaTehehe sio "uga limi"
Naamini LEGE amebanwa na majukumu, kaishiwa bando au huko anakoicopy na kuja ipaste hapa haijabandikwa, tuwe na subira na moyo wa shukrani.Tatizo lege huwa anatelekeza watu njiani...hata kule kwa danny aliwakimbia raia