Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
Lege mbona kimya sana? Au Dr Joshua kakuteka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima atakuwa anapiga labda sio muda mwafaka kwake 😉😉😉.Akimaliza hiyo kazi lazima aondoke na demu mkaliLabda hapigi
Mathew ni Jack bour wa 24hrs ....ushawahi kumuona Jackbour akimfamfanyia mtu interrogstion?nomaaa jamaa mpaka anakuwa kama amevuta ile sigara kubwaMathew namfananisha na Willy Gamba wa Elvis Musiba kwa wale wakongwe wenzangu.
Mathew ni Jack bour wa 24hrs ....ushawahi kumuona Jackbour akimfamfanyia mtu interrogstion?nomaaa jamaa mpaka anakuwa kama amevuta ile sigara kubwa
Mkuu uko sahihi hadi mm fikla zimeenda kwa willy gamba, afu penny sawa na yule dada Lulu kama cjakosea jinaMathew namfananisha na Willy Gamba wa Elvis Musiba kwa wale wakongwe wenzangu.
Mkuu uko sahihi hadi mm fikla zimeenda kwa willy gamba, afu penny sawa na yule dada Lulu kama cjakosea jina
Hakikaaaa mkuu unae muwasho kiwango cha kwanzaaaGari la bibiake yule aliyefariki kwa kubustiwa na methew aseme makaratasi yalipo
Bibike Sabina kama sijakosea jina
Kweli kabisa ana mazuri yake mengi tuMnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.....John ni mtu mwema sana bc tu shetani almtawala...me namhurumia
HKabisa.kuna kipindi kingine mpaka anataka kuua watu wote huwa wanamuogopa akishabadilika.Jack Bour kibokoNi kweli mkuu Jack akiamua kitu mpaka akitekeleze hatojali anavunja sheria au anakiuka maagizo ya wakubwa wake. Jack Bour zee la mishe.
John ameua wazazi wa Penny na sio kwa bahati mbaya amekusudia.huyu siwezi kumsupport.damu ya mtu haiendi hivihivi....Kweli kabisa ana mazuri yake mengi tu
Yaani katika hii storie huyu mzee nimetokea kumpenda sana. Nasubiri mtanange wa mwisho kati ya John na MathewKweli kabisa ana mazuri yake mengi tu