Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
chamchana mshapewa hichooo mkuu
Miye mzma hofu kwako team riwaya [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji2] [emoji2]Niliona kama eva alifall in love kwa mathew bada ya kumuuliza maswali kuhusu anitha nikajua badae watakuja kuoana tena wamekuja kukorofishana yaan unavyofkilia inakuja tofauti
HahahhhHayakuhusu
Apo sawaSawa nafuta matumiz ya neno maskin ktk iyo post
Hivi kutokuijua papuchi unakua chizi kumbe nilikua sijuiMethew asingekua jasusi angeishakua chizi miaka yote iyo haijui papuchi uyu jamaa noma
Tuwekee na hizo LEGEmkimbizi mm ninacho kitabu chake nimeisoma mwanzo mwisho .kuna nyingine mtafiti,mtuhumiwa,mdunguaji,utata, na now ya kijasusi ni wimbo wa gaidi ushawahi zisoma hizo
Mhhh[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Hivi kutokuijua papuchi unakua chizi kumbe nilikua sijui
Niuzie basi hicho kitabu.nikiwa dar huwa naenda block 41 kuuliza hicho kitabu ndipo anapouza vitabu vyake. kila nikienda naambiwa hakijatoka maana watu walimuomba achapishe nakala nyengine.mkimbizi mm ninacho kitabu chake nimeisoma mwanzo mwisho .kuna nyingine mtafiti,mtuhumiwa,mdunguaji,utata, na now ya kijasusi ni wimbo wa gaidi ushawahi zisoma hizo
Ahsante mkuu natumaini kimetoka kwa ruhusa yako.😀😀😀😀.sasa tunasubiri cha jioni kisiwe usiku maana kesho kazi utatufukuzisha kazi.kiweke mapema mkuu.thanks in advancechamchana mshapewa hichooo mkuu
Ukipata hata ile ya mkimbizi au mdunguaji ishushe hapahahaha mkuu kwa jins watu walivyokuwa busy JF wakipigana vikuombo na story ya peniele hatari tupu.
ipo story nyingine ya kijasusi ya mwandishi nguri wa story za taharuki HUSSEN TUWA inaitwa WIMBO WA GAIDI itabidi ikiisha hii tufanye mpango tuibwage hapa nayo
pow kiongozPamoja sana mkuu
Nimezisoma ila mtafiti sikufika mwisho. Tuwa ni moto wa kutisha. Anazo zingine kama Bondia,mss Tanzania. Ila kiboko ni mkimbizimkimbizi mm ninacho kitabu chake nimeisoma mwanzo mwisho .kuna nyingine mtafiti,mtuhumiwa,mdunguaji,utata, na now ya kijasusi ni wimbo wa gaidi ushawahi zisoma hizo
Uwe na shukrani mkuu labda kaagizwa apostUyu ni nani kapost? Kuna watu wanaviherehere sana.
Me mzima piaMiye mzma hofu kwako team riwaya [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji2] [emoji2]
Ninii me meuliza tuMhhh[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
EndeleaaaPicha linaanza mathew na eli watakuja gombana sbbu ya peniela uku naomi nae anataka kwa eli aisee inaonekana eli handsome [emoji134]
Mkuu hiyo nami nimeishtukia hasa nikifikiria Elibariki amedumbukizwa na mtoto Naomi kwenye swimming pool kumbuka naomi ana ukame wa miaka minne alikuwa amafungiwa ndani hivyo yeye kumbaka Elibariki ni sawa tu.Peniela akigundua ataua mtu....Picha linaanza mathew na eli watakuja gombana sbbu ya peniela uku naomi nae anataka kwa eli aisee inaonekana eli handsome [emoji134]