Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha haaaa...nimekusoma kiongozi.Yote uliosema ni kweli, ili akue inabidi asaidiwe, lakini kwa sasa nafikiri ungeondoa neno "kiuchumi" linaweza leta shida"
Mtoto ana ukame hajaguswa sasa kafunguliwa mbwa mbona balaaa mle ndani.Jaji Elibariki kwishaa ndani ya maji.....haha hhhhHako ka-Naomi ni ka little devil...
Vp LEGE!? Mkuu tusaidiane kumuita inaelekea mimi ndio naita sana wengine mapozi kumbe kitu tunataka wote
Tunashukuru LEGE sana mchana super.sasa LEGE piga vya jioni vitano mkuu tunyooke mpaka kesho hiyo.Fanya mida hii ili tusichelewe kulala mkuuchamchana mshapewa hichooo mkuu
John ameua wazazi wa Penny na sio kwa bahati mbaya amekusudia.huyu siwezi kumsupport.damu ya mtu haiendi hivihivi....
Siyo kweli kwamba aliwaua makusudi, alimuua mamake Peniela kwa maelekezo ya babake. Pia alimuua babake baada ya kutofautiana pale darajani, kumbuka baada ya Mwaulaya kufanya mauaji ya mama akamuacha mtoto na kumpigia wakutane darajani babake alipokuja na kuonyeshwa mtoto alimulaumu sana John kwa nini hakumuua mtoto, akawa anamlazimisha amuue, ndipo John akamuua babake na Peniela huku akisema "siwezi kuua kiumbe kisicho na hatia.
Naamini Peniela atamsamehe mzee John na hata kumshawishi Mathew naye amsamehe.
Umekubaliana nami kuhusu Peniela na Mathew kumsamehe John?Highly appriciated our LEGE.Hakika wewe ni super star......Hatimaye John amuachia mikoba Mathew.Ndio maana nilisema nahisi kuna surprise inakuja ya John na Mathew....i was right.Now who is who .Muke wa Deus naye yumo kwanye misheni Deus mwenyewe yuko against hapo Muziki unogile.
Mkuu nimekubali mimi sio mbishiUmekubaliana nami kuhusu Peniela na Mathew kumsamehe John?
Mh nimeishia apo ataendelea LEGEEndeleaaa
Hahahhh hana tofauti na mathew ukame wao ila paniela atauaMkuu hiyo nami nimeishtukia hasa nikifikiria Elibariki amedumbukizwa na mtoto Naomi kwenye swimming pool kumbuka naomi ana ukame wa miaka minne alikuwa amafungiwa ndani hivyo yeye kumbaka Elibariki ni sawa tu.Peniela akigundua ataua mtu....
Kwenye papuchi hakunaga iyo mathew uzalendo ushamshinda na peni ameshasoma mchezoLakini Mathew na Elibariki wanaheshimiana sidhani kama Mathew ataingilia kati dah hili story ni misapraizz ya haja mimi nilifikiri Naomi atafall kwa Mathew Dah Elibariki nomaaa nafikiri anafanana Denzel Washington.Haha haha
HahahahhhMkuu LEGE upo..naona mimo ndio nimekuwa teja zaidi ya wenzangu itabidi nitafute kitu kingine cha kufanya vinginevyo nimekwisha kila saa naita LEGEE LEGEE ....
Mkuu usicheke unajua hii nayo ni issue serious ....LEGE amenibrain wash mpaka nimeacha kuangalia movie zangu.Hahahahhh
Hahahhh kweli umekua zaidi ya teje LEGE ukuje aisee umsaidie mambo hali mbayaMkuu usicheke unajua hii nayo ni issue serious ....LEGE amenibrain wash mpaka nimeacha kuangalia movie zangu.