Peniela (Story ya kijasusi)

Peniela (Story ya kijasusi)

Kwenye papuchi hakunaga iyo mathew uzalendo ushamshinda na peni ameshasoma mchezo
Dah ni kweli kabisa na Mathew akianza kula mzigo itakuwa balaa maana naye ana ukame wa muda.Lakini Peniella naye kama ameamua kutulia asichanganye
 
Mkuu usicheke unajua hii nayo ni issue serious ....LEGE amenibrain wash mpaka nimeacha kuangalia movie zangu.
Kumbe sipo peke yangu,mi ni mpenzi wa Jack Bauer kwenye 24hrs kila siku huwa naichungulia kiasi lakini Lege kanifanya niipotezee
 
LEGE LEGE LEGE LEGEEEEE its time tupia vitano vya usiku
 
Dah ni kweli kabisa na Mathew akianza kula mzigo itakuwa balaa maana naye ana ukame wa muda.Lakini Peniella naye kama ameamua kutulia asichanganye
Naye yule pamoja kuwa anatumiwa lkn ana ukicheche flan
 
Naye yule pamoja kuwa anatumiwa lkn ana ukicheche flan
Haha haha hahaaa ukicheche upo lakini nafikiri atafika mahali atatulia dah ingekuwa inaacha alsma angekuwa na majipu kabisa
 
Ila Rosemary ana jeuri sijapata ona...dah
 
LEGE kesho monday pls fanya mapema tumalize
 
LEGE delegate basi kwa watu wako kama uko busy
 
LEGE nataka nijitayarishe kwa job kesho naomba uje uweke 5 pcs .....pls
 
At last nimemaliza....ilikuwa non stop hadi net ikapotea duh....hii series ni kitu ingine kabisa wadau ...shughuli zimesimama tangu Jana uwiiiii
 
Back
Top Bottom