Peniela (Story ya kijasusi)

Peniela (Story ya kijasusi)

TAARIFA MUHIMU KWA WOTE.

Kwa kushirikiana na Clouds Media Group na Azam Media ,tunatafuta wasanii watao weza kucheza tamthilia hii,vigezo uwe na kipaji na walau uwe na uwezo wa kufit katika waigizaji wa kuu wa stori hii ya PENIELA,kwa walio tayari wani PM kwa mawasailiano zaidi.

NB .kwa wakina dada watao taka kuigizia kama PENIELA watafanyiwa usaili wa kivitendo ili kudhihirisha uwezo wao ila wengine wote mnaweza mkafanyiwa usaili wa kawaida tu.

Kumbuka,malipo yako na mkataba vitazingatiwa kisheria kama utakuwa umefuzu vigezo vyetu.

Mwisho wa kutuma maombi ni 30/9/2016 saa sita usiku

Mratibu na msaili wa wasanii wa tamthilia ya PENIELA.
A.Tatu
21/9/2016​
Hehehehe naomba na mm niwe mmoka wa wazee wa kitengo cha kuwafanyia usaili wakina peniela
 
LEGE hata ukija ukatupromise italeta faraja ukikaa kimya unatutisha bana hebu ukuje basi mara moja hapa
 
Watu kwa kulialia tu hamjambo
Ndio maana Mnaambiwa mfanye kazi sio masaa ishirini na nne mpo mitandaoni kumlilia LEGE
jaribuni kushukuru kwa mnachokipata
Huyo LEGE mwenyewe nae anatafuta tonge ili familia yake iende chooni.
Kama vipi nendeni kwa Danny mzee wa kupaka mate kila kitumbua
 
kama wwleo ni siku yako ya kazi usidhani kila mtu ni siku yake ya kazi,sasa ww ninj kimekuleta humu muda huu! kunawanaume wengine walipaswa kuwa wanawake basi tu!
 
Watu kwa kulialia tu hamjambo
Ndio maana Mnaambiwa mfanye kazi sio masaa ishirini na nne mpo mitandaoni kumlilia LEGE
jaribuni kushukuru kwa mnachokipata
Huyo LEGE mwenyewe nae anatafuta tonge ili familia yake iende chooni.
Kama vipi nendeni kwa Danny mzee wa kupaka mate kila kitumbua

Usipende kuishi maisha ya kukariri.
 
Hehehehe naomba na mm niwe mmoka wa wazee wa kitengo cha kuwafanyia usaili wakina peniela
EHE,HIKO KITENGO NIMEKABIDHIWA MIMI,NA NIMEAMINIWA SANA,LADBA WWE UWEKWE KITENGO CHA KUWAFANYIA USAILI WATAO TAKA KUIGIZA KAMA NAOMI AU MAMA ROSE
 
SEASON 3

SEHEMU YA 38

MTUNZI : PATRICK.CK

Ni saa sita za usiku sasa bado jaji Elibariki chukuswa yuko sebuleni akiendelea kupitia kitabu chake cha sheria .Katika meza ndogo kulikuwa na vitabu vingine zaidi ya saba vya sheria.Aliendelea kufungua ukurasa baada ya ukurasa.Alionekana kuwa na mawazo mengi mno.Wakati akiendelea kupitia kurasa za kitabu kile mke wake akaingia pale sebuleni akiwa na kikombe cha kahawa, akakiweka mezani halafu akainama na kumbusu mumewe.

“ You need to take a rest now.Tommorow is your big day” akasema Flaviana mwanamke mwenye uzuri wa kipekee.Elibariki akakifunika kitabu chake na kumtazama mkewe ,akachukua kikombe cha kahawa akanywa kidogo na kusema

“ Natamani sana nipumzike lakini sina hakika kama nitapata usingizi.”
Mke wake akamuangalia kwa makini halafu akasema
“ Kuna jambo nataka nikuulize mume wangu”
“ Uliza usihofu ”
“ Najua kesi hii ni moja kati ya kesi kubwa na ngumu kwako.Hukumu unayotarajia kuitoa kesho inasubiriwa kwa hamu kubwa sana na umma wa watanzania.Wewe ni jaji na nina imani maamuzi yako utakayoyachukua ni sahihi kabisa,lakini swali langu ni je Yule msichana ana hatia?
Swali lile lilionekana gumu sana kwa jaji Elibariki.Akainama akafikiri kidogo halafu akachukua kikombe cha kahawa akanywa kidogo na kumtazama mkewe.

Hakukuwa na nafasi tena ya kukaa ndani ya chumba cha mahakama kutokana na watu kujaa.Ni siku ya hukumu ya kesi ya mauaji inayomkabili mmiliki wa maduka makubwa ya mavazi ya Penny Fashion,Peniela Salimote.Kesi hii iliyovuta hisia za watu wengi na kuwafanya wafurike ili kuja kusikia hukumu ilikuwa inaonyeshwa moja kwa moja katika runinga.ILikuwa ni kesi ya kwanza kubwa kurushwa moja kwa moja katika runinga.Katika kila kona ya nchi watu walikuwa wakifuatilia matangazo ya moja kwa moja ya kesi hii ambayo hukumu yake ilikuwa inasubiriwa na watu wengi.

Ndani ya chumba cha mahakama ilikuwepo familia ya rais ikiongozwa na mke wa rais,Dr Flora Johakim ambaye alikuwa ameambatana na binti zake wawili Flaviana na Anna.Familia ya Edson Kobe kijana anayedaiwa kuuliwa na Peniela nayo ilikuwepo mahakamani hapo ili kuhakikisha kwamba haki inatendeka.Familia ya Edson na ile ya rais zilikuwa ni familia rafiki kwa muda mrefu sana.Kwa upande wa Penny hakukuwa na ndugu yake yeyote aliyefika mahakamani pale zaidi ya rafiki zake wachache.

Tayari mtuhumiwa amekwisha ingizwa mahakamani na aliyekuwa akisubiriwa ni jaji anayeisikiliza kesi ile aweze kuingia na kuisoma hukumu.Wakati wakimsubiri Jaji aingie,Jason Patrick mwanasheria anayemtetea Penny alikuwa akibadilishana mawili matatu na mteja wake .
“ Jason,kabla hukumu haijaanza ninaomba nikwambie kitu.” Akanyamaza kidogo na kuendelea.

“ Nakushukuru sana kwa kila kitu ulichonifanyia.Umenisimamia katika kesi hii kwa kila namna ulivyoweza.Najua chochote kinaweza kikatokea siku ya leo hivyo nakuomba endapo ikitokea nikakutwa na hatia na kufungwa kifungo cha maisha au kifo uhakikishe yale yote niliyokuandikia katika karatasi unayatimiza.Wewe ni zaidi ya rafiki.Wewe ni ndugu yangu pekee ninayekutambua.Ninakukabidhi kila kilicho changu endapo mambo yataenda kinyume na matarajio yetu." Akasema Penny huku machozi yakimtoka
“ Penny naomba usikate tamaa hata kidogo.Nimepambana vya kutosha kuhakikisha kwamba tunashinda kesi hii lakini kama mambo yataenda tofauti na matarajio yetu hautakuwa ni mwisho.Nitapambana hadi nihakikishe haki imepatikana.” Akasema Jason na mara jaji akaingia.

NIMEONA NIWAFARIJI KIDOGO😀😀😀😎😎😎😎😎😉
 
Mwana vipi tena? Umeibukia wapi?
 
EHE,HIKO KITENGO NIMEKABIDHIWA MIMI,NA NIMEAMINIWA SANA,LADBA WWE UWEKWE KITENGO CHA KUWAFANYIA USAILI WATAO TAKA KUIGIZA KAMA NAOMI AU MAMA ROSE
Hapana bana huwez Fanya wote utakua maji elibariki sasa
Majudge wa huo usajili wa peniela ni wale certified gwijimimi,
 
Watu kwa kulialia tu hamjambo
Ndio maana Mnaambiwa mfanye kazi sio masaa ishirini na nne mpo mitandaoni kumlilia LEGE
jaribuni kushukuru kwa mnachokipata
Huyo LEGE mwenyewe nae anatafuta tonge ili familia yake iende chooni.
Kama vipi nendeni kwa Danny mzee wa kupaka mate kila kitumbua
Kwani tunakula kwako??
 
Hapana bana huwez Fanya wote utakua maji elibariki sasa
Majudge wa huo usajili wa peniela ni wale certified gwijimimi,
WE HUNA VIWANGO ,MII NIMEKIDH VIGEZO VYOTE VYA KUUFANYA HUO USAILI,NINATOSHA MBELE NA NYUMA KUSHOTO NA KULIA KOTE NIKO FITI
 
Back
Top Bottom