Peniela (Story ya kijasusi)

Peniela (Story ya kijasusi)

LEGE shukrani sana sasa tulale au unaendelea wengne tunasoma kwa kuibia
 
John naona anapata maandalizi mazuri huko aendako huu ni ujasiri wa hali ya juu anasifiwa akiwa amekufa.
 
Afadhali nimemaliza duh maana nimekuwa kama boya nakesha kila siku toka nilipogundua kwamba kuna story kama hii
 
Ni suala la muda tu, Hugo Peniela ataanza kumuona Askofu Edmund kuwa ndiye mwanaume Wa maisha yake na hakuna mwingine duniani kama Askofu Huyo!!
hahahahahhahahhahahhaha,Tena usishangae akimpa na papuchi kabisa maana huyu bibie yeye kutoa nyuchi ni sawa na kumpa muwa nguruwe
 
tuylia mkuu utajua tuu mambo yote na siri zote alikuwa nazo john mwaulaya?? yeye ndio alikuwa mratibu wa kila jambo lakini alikuwa na moyo wa ubinadam zaidi ya unyama alioufanya
Naamini Mwaulaya alikuwa akisukumwa na nature ya kazi maalum kuivaa roho ya unyama, kwani kama angekuwa ni katili kwa ajili basi yeye ndiye angekuwa na tamaa ya kujipatia pesa kwa kuwa kitoto Aby.
 
Ni suala la muda tu, Hugo Peniela ataanza kumuona Askofu Edmund kuwa ndiye mwanaume Wa maisha yake na hakuna mwingine duniani kama Askofu Huyo!!
Yap huyu bibie yake ipo mkononi wala haoni tabu pamoja na kazi ila nae anapenda michezo hiyo.
 
Naamini Mwaulaya alikuwa akisukumwa na nature ya kazi maalum kuivaa roho ya unyama, kwani kama angekuwa ni katili kwa ajili basi yeye ndiye angekuwa na tamaa ya kujipatia pesa kwa kuwa kitoto Aby.
Hiki chuma kilikuwa zaidi ya hatari kumbuka kiliteketeza watu 220 kwenye ndege kisha mwisho wa uhai wake anakuja kuokoa mamilioni ya watu na kumaliza vinyongo na wapendwa wake kama methew na paniela mwisho wake mzuri.
 
Katkaa watuu wanohangaika na hiiikituuu nafkirii we nikiwangoo cha barabara ya mwendo kasiii. Haunagaa kazii man????????
Unapata muda kweli wa kufahamu kuwa ninahsngaika na hiii kitu?hauna kazi sio?
 
Back
Top Bottom