Peniela (Story ya kijasusi)

Peniela (Story ya kijasusi)

Kuna mdau nlimuuliza kama anaweza kunisaidia link ya jf, ambayo ntasima hii story bila app ya jf, mfn kwenye habari mchanganyiko au jokes, ili nisitumie aply ya jf maana kuna vitu sivipati,

Kama unafaham pia mkuu nisaidie, maana nmeenda kule education hakuna ..
Jukwaa la Entertainment.
 
Na mm pia nikimuona Baba jesca kwenye runinga namkumbuka Dr joshua moja kwa moja.
Mwacheni Baba Jesca jamani yeye yuko busy kuifanya Tz ya viwanda, kwa sasa ameanza na bombadia Joshua yeye anawaza tumbo lake na Penny tu.
 
Replies 1880 si mchezo LEGE you are the super star hongera mkuu thread yako inapaaa.Nakuona unavyochekelea hapo😀😛😀😀😀😀
 
Fernandez kawa bwege.nashukuru sana kwa ubwege wake!!
Rosemary atampa kibano cha hali ya juu, gari, simu, computer vyote kaondoka navyo Anitha.
Jushua naye anapanga kuvamia nyumbani kwa Rose kumchukua Anitha.
 
hahaha mkuu kwa jins watu walivyokuwa busy JF wakipigana vikuombo na story ya peniele hatari tupu.

ipo story nyingine ya kijasusi ya mwandishi nguri wa story za taharuki HUSSEN TUWA inaitwa WIMBO WA GAIDI itabidi ikiisha hii tufanye mpango tuibwage hapa nayo
Husein Tuwa namkubali Sana huyo Bw Contact zake please Nimepoteza some of his novels
 
Mzigo Upi Mnapenda kushushiwa Kati ya Hizi

serena
before i die
miss tanzania 1&2
beyond pain
bring back our girls part 1
i died to save president part1
i was wrong 1
i do season 1

Maamuz Juu Yenu ila Ukisha tajwa na Mmoja. basi usirudiwe kutajwa bali Upewe Like
Ili tusijaze threed
 
Mzigo Upi Mnapenda kushushiwa Kati ya Hizi

serena
before i die
miss tanzania 1&2
beyond pain
bring back our girls part 1
i died to save president part1
i was wrong 1
i do season 1

Maamuz Juu Yenu ila Ukisha tajwa na Mmoja. basi usirudiwe kutajwa bali Upewe Like
Ili tusijaze threed

Wenye Like nyingi ndo utaoshushwa Kwenu
 
Huyo bishop hahusiki na mission ya CIA ya kupata kirusi Aby. Tupo hapo kumuenzi na kukamilisha ndiyo za rafiki (John Mwaulaya).
Don't forget kwamba
1st he is C.I.A
2nd marekani wanakitaka hcho kirusi kwaajili ya hayo madini
3rd the whole mission ya mkewe (evwntually na yeye pia ) ni kuhusu hcho kirusi bila hvyo angekua marekani huko anakula upope mzuri
So I blv lazima awageuke
 
Kwahiyo kanuni hizo zilichukuliwa toka kwa John au Sabina mkuu? Halafu ukifuatilia vizuri kanunuzi hizo hazihusiani na kirusi Aby..!!!

BACK TANGANYIKA
Basi hujaelewa mkuu
Zile kanuni zinatengeneza jirudi cha Abby
Ndo Mathew alichoambiwa na wale washkaj zake wa mosad na pia john mwanaulaya alimwambia the same
 
Mzigo Upi Mnapenda kushushiwa Kati ya Hizi

serena
before i die
miss tanzania 1&2
beyond pain
bring back our girls part 1
i died to save president part1
i was wrong 1
i do season 1

Maamuz Juu Yenu ila Ukisha tajwa na Mmoja. basi usirudiwe kutajwa bali Upewe Like
Ili tusijaze threed
Mkuu naitafuta sana miss tanzania niliishiaga nusu tafathali sanaaa nitag ilipo.
 
Back
Top Bottom