Peniela (Story ya kijasusi)

Peniela (Story ya kijasusi)

Lege inaonekana wewe ni mdau mkubwa wa Riwaya kama mimi. Kwa kweli siwezi orodhesha idadi ya riwaya nilizosoma. Nimeanza kuvutiwa kusoma kipindi nipo darasa la 3. By then nilikua naona mama akisoma sana riwaya za enzi hizo. Nami nikawa nasubiri amalize ili nisome. Kwa kweli nilikuwa na vutiwa sana. Nilikuwa msomaji mzuri kwa sababu kipindi cha magazeti ya sana nilikuwa nawasomea washkaji class. Watu wamekuzunguka hivyo unasoma kwa sauti wote wasikie. Nilikuwa nina library ya hizi riwaya kibao. Nikisafiri kwa basi pale Ubungo lazima ninunue ndani ya basi naburudika bila kuchoka. Zikaja zile za Shigongo, nilikua nakesha kwa utamu. Jamani riwaya ni tamu sana kama unazikubali. Bora nisiangalie movies lakini nisome riwaya yenye msisimko. Mathalani hii riwaya imenikumbusha enzi hizo riwaya za kipelelezi na ukichukulia hakukua na technologies kama simu na computer lakini kila kitu kilikuwa kitavutia.
 
h

ahahahahahaha mkuu ukitaka za kijasusi sana sana utazipata kwenye vitabu maana waandishi wengi kwenye magroup yao ya watsaap wanaandika za mapenzi coz ndio zinawashabiki na wapenzi sana
Next ni season fainaly mkuu,sio....????..nakumbuka ulisema zipo gwala season tuu....??
 
kiukweli mkimbizi hakipo kilisha kwisha coz wanafunzi wa chuo wanakitumia hivyo kimekuwa adimu sana alisema atatoa copy nyingine lkn sio kwa karibuni coz kuna kazi mbili anazifyatua nazo ni wimbo wa gaidi na mtafiti.ukitaka vitabu vya tuwa utapata mtuhumiwa,mdunguaji na utata nazani hivyo vipo vya kutosha mkuu,

ungekuwa ni mkazi wa dar ningesema nikuazime cha kwangu mkuu

Mkuu Lege,

Fanya hivyo jamaa yangu, siku mbili nitakuwa nimemaliza kila kitu. Hapa Dar nipo mpaka mwezi wa kumj mwishoni... Ulionambia kipo, hapa koo limenikauka mate kwa hamu..!!!

Please mkuu, fanya hivyo Tafadhali

BACK TANGANYIKA
 
VYA MSIBA KUVIPATA NI SHIDA SANA MKUU lakini vya joram kiango like tutarudi na roho zetu,ni zamu yako kufa,roho ya paka,mtambo wa mauti,mikataba ya kishetani ,dar es salaam usiku n.k vinapatikana hapa dar sehem nyingi hata mwenge pale kwenye stend ya mwenge ukiwa unatokea tegeta hapo efata kuna muuza magazeti anavyo au kinondoni DUKA LA RIWAYA unavipata mkuu muuzaji 0655428085 anaitwa zamira au mwanae wa mtobwa yupo humu humu anaitwa nameless girl kama sijakosea id yake

Lege kuna riwaya moja inaitwa Dar nightmare, nasikiaga ilipigwa marufuku, ni kweli? Na je inapatikana? Ina maudhui gani?
 
Mkuu Lege .nini kitamsibu peniel huko kwenye kasri la Joshua .nimeshapata kifungua macho mkuu ,wewe twakusubiri utumegee vinono hivyo!!
 
Mkuu LEGE kwa vile leo wkend unaweza ukamwaga muda wowote ukiwa free then kila mtu atajipimia kutokana na ufree wake.
 
Mkuu Lege hongera kwa kuniteka kuanzia Juzi sijasoma lolote humu jf zaidi ya Peniela. Nmeisoma kuanzia arusha hadi dar kwenye bus.. at last leo nimemaliza episodes ulizoweka.. maoni yangu na ushauri nitaviweka story yote ikishaisha.
 
Lege tuendelee na hii ya Peniela kwasababu ile ya Before I Die haivutii msomaji.
Peniel inabutia kwa sabb ya kisa chake, wahusika na uwasilishaji wake, hilo ndilo linafanya hadithi iwe nzr,

Kwa ufuatiliaji wangu aliekuwa anajua kuwa kwenye ile pakaj kuna nn ni rais msaafu na dr(rais) ila ktk sehe ya 11 kama sikosei katib wa rais nae anaonekana kukijua kirus aby,

Huenda mtunzi alisahau, lkn ukiondoa hlo tunaenda vyema....
 
Back
Top Bottom