Peniela (Story ya kijasusi)

Peniela (Story ya kijasusi)

Mkuu umesema kuwa peniel itabidi isubri kwa siku kadhaa, je ni kwa mda upi, maana mm ckuwahi kusoma kabla ya hii....so kwangu hii naifuatilia.....lini utashusha mzigo?
nazani baada ya wiki 2 au moja hivi siunajua uandishi ni fani na kuna mambo mengi so ni lazima kunakufanyiwa editing n.k

na huwa inategemea huyo aliyepewa kuisoma na kuisahihisha ana kasi gani ya kuisoma.ila baada ya wiki moja mambo yatakuwa fresh kbs
 
kiukweli mkimbizi hakipo kilisha kwisha coz wanafunzi wa chuo wanakitumia hivyo kimekuwa adimu sana alisema atatoa copy nyingine lkn sio kwa karibuni coz kuna kazi mbili anazifyatua nazo ni wimbo wa gaidi na mtafiti.ukitaka vitabu vya tuwa utapata mtuhumiwa,mdunguaji na utata nazani hivyo vipo vya kutosha mkuu,

ungekuwa ni mkazi wa dar ningesema nikuazime cha kwangu mkuu
Nitavipataje hivyo vitabu vya tuwa please
 
nazani baada ya wiki 2 au moja hivi siunajua uandishi ni fani na kuna mambo mengi so ni lazima kunakufanyiwa editing n.k

na huwa inategemea huyo aliyepewa kuisoma na kuisahihisha ana kasi gani ya kuisoma.ila baada ya wiki moja mambo yatakuwa fresh kbs

Bad news
 
Ok ngoja niendelee kusoma ile before i die... Japo peniel kaniingia balaaaa...
 
Mwenye Pahala ambako naweza Soma Riwaya ya Mkimbizi Mwanzo mwisho Mtandaoni Anielekeza Tafadhali
kulikuwa kuna page ya kusoma lkn naona washa isitisha na hata hivyo kule online walikuwa hawajaiweka yote kama ilivyokamilika kwenye kitabu hivyo fanya mpango upate tuu kitabu mkuu
 
Kikosi cha kisasi ninacho na njama ila vipo Morogoro kwa sasa nilicho nacho karibu ni Hofu. Vitabu vya msiba vingi ninesoma ila vya Joram Kiango nilisom simu ya Kifo nadhani kama kumbukumbu zangu ziko sahihi. Hicho cha Allan niewahi kukisikia ila sijakisoma.
Simu ya kifo ni Faraji Katalambula.

Nimekuinbox mkuu hivyo vya Msiba navihamu sana.
 
nazani baada ya wiki 2 au moja hivi siunajua uandishi ni fani na kuna mambo mengi so ni lazima kunakufanyiwa editing n.k

na huwa inategemea huyo aliyepewa kuisoma na kuisahihisha ana kasi gani ya kuisoma.ila baada ya wiki moja mambo yatakuwa fresh kbs
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Back
Top Bottom