jaxonjaxon
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 217
- 136
Si tumeambiwa tu subiri, [emoji35] lolLEGE nimekuona mkuu leta mambo basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si tumeambiwa tu subiri, [emoji35] lolLEGE nimekuona mkuu leta mambo basi
nazani baada ya wiki 2 au moja hivi siunajua uandishi ni fani na kuna mambo mengi so ni lazima kunakufanyiwa editing n.kMkuu umesema kuwa peniel itabidi isubri kwa siku kadhaa, je ni kwa mda upi, maana mm ckuwahi kusoma kabla ya hii....so kwangu hii naifuatilia.....lini utashusha mzigo?
Nitavipataje hivyo vitabu vya tuwa pleasekiukweli mkimbizi hakipo kilisha kwisha coz wanafunzi wa chuo wanakitumia hivyo kimekuwa adimu sana alisema atatoa copy nyingine lkn sio kwa karibuni coz kuna kazi mbili anazifyatua nazo ni wimbo wa gaidi na mtafiti.ukitaka vitabu vya tuwa utapata mtuhumiwa,mdunguaji na utata nazani hivyo vipo vya kutosha mkuu,
ungekuwa ni mkazi wa dar ningesema nikuazime cha kwangu mkuu
nazani baada ya wiki 2 au moja hivi siunajua uandishi ni fani na kuna mambo mengi so ni lazima kunakufanyiwa editing n.k
na huwa inategemea huyo aliyepewa kuisoma na kuisahihisha ana kasi gani ya kuisoma.ila baada ya wiki moja mambo yatakuwa fresh kbs
Ok ngoja niendelee kusoma ile before i die... Japo peniel kaniingia balaaaa...nazani baada ya wiki 2 au moja hivi siunajua uandishi ni fani na kuna mambo mengi so ni lazima kunakufanyiwa editing n.k
na huwa inategemea huyo aliyepewa kuisoma na kuisahihisha ana kasi gani ya kuisoma.ila baada ya wiki moja mambo yatakuwa fresh kbs
Hahaaa Inshallah Mikeka haitachanika leoMan u wanapiga mpira mwing mno Leicester kaisha kufa nne mpaka sasa nafkil ntapata nguvu sasa za kusubir Peniela izo wiki mbil
kulikuwa kuna page ya kusoma lkn naona washa isitisha na hata hivyo kule online walikuwa hawajaiweka yote kama ilivyokamilika kwenye kitabu hivyo fanya mpango upate tuu kitabu mkuuMwenye Pahala ambako naweza Soma Riwaya ya Mkimbizi Mwanzo mwisho Mtandaoni Anielekeza Tafadhali
Simu ya kifo ni Faraji Katalambula.Kikosi cha kisasi ninacho na njama ila vipo Morogoro kwa sasa nilicho nacho karibu ni Hofu. Vitabu vya msiba vingi ninesoma ila vya Joram Kiango nilisom simu ya Kifo nadhani kama kumbukumbu zangu ziko sahihi. Hicho cha Allan niewahi kukisikia ila sijakisoma.
Au Salamu Toka Kuzimu ya Joram Kiango[emoji4]atakuwa anafananisha na joram kiango kiitwacho nizamu yako kufa.
Au Salamu toka kuzimuatakuwa anafananisha na joram kiango kiitwacho nizamu yako kufa.
Yap u r right mkuu salamu toka kuzimuAu Salamu Toka Kuzimu ya Joram Kiango[emoji4]
Shunie mwanamke Wa darEenh
Nitumie mite softy copy mkuumkuu kupata vitabu vya msiba ni ishu sana lakini kama unataka story hiyo ya HOFU soft copy unaweza kuipata .nikutumie
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]nazani baada ya wiki 2 au moja hivi siunajua uandishi ni fani na kuna mambo mengi so ni lazima kunakufanyiwa editing n.k
na huwa inategemea huyo aliyepewa kuisoma na kuisahihisha ana kasi gani ya kuisoma.ila baada ya wiki moja mambo yatakuwa fresh kbs