Peniela (Story ya kijasusi)

Peniela (Story ya kijasusi)

peniela
epsod 0

ni lini nitamuona peniela..?
alijiuliza kenzy
kidogo alishituliwa na muito wa simu yake sekunde ya pili simu ilikuwa kiganjani,
baada ya kuipokea ilisikika sauti ikisema "hallow kenzy ni mimi peniela uko wapi..?"
kenzy alijibu nipo nyumbani we uko wapi..?.

nipo kwenye gari naelekea kwangu lkn kuna watu nahisi wananifuatilia na yaonyesha wanania mbaya alijibu penny..!

baada ya kusikia maneno yale kenzy alinyanyuka haraka na kurukia funguo ya gari
huku akitoka nje
simu ikiwa bado sikioni kenzy akamuuliza peniela
nitajie maeneo uliopo..?
nipo barabara ya mwendapole alijibu penny..
okay nyoosha na hiyo barabara sasa hivi ntakuwa hapo,nenda mwendo wa kawaida na fanya kama haujawashtukia..ten minutes i will be there.

sawa kenzy fanya haraka me naogopa alijibu penny

Loading....
initializing....
error
 
Mimi sipo tz bana. Wamepewa na nani?
lkn si upo jf unashindwa nini kujua? kwa taarifa zaidi chombeza humu utaziona thread kedekede.
zimenunuliwa na serikali jana zimezinduliwa na rais
 
Mimi naja hapa kwa penny tu hayo mengine siyajui. BTW, nitacheki. Thanks
 
Nimekwambia kuhesabu sijui..!

atawezekana tu huoni hapo juu amenipigia simu nikamsaidie..
Basi bila hesabu kali andika maumivu mtoto mkale bila mahesabu makeli imekula kwako jombaaa
 
peniela
epsod 0

ni lini nitamuona peniela..?
alijiuliza kenzy
kidogo alishituliwa na muito wa simu yake sekunde ya pili simu ilikuwa kiganjani,
baada ya kuipokea ilisikika sauti ikisema "hallow kenzy ni mimi peniela uko wapi..?"
kenzy alijibu nipo nyumbani we uko wapi..?.

nipo kwenye gari naelekea kwangu lkn kuna watu nahisi wananifuatilia na yaonyesha wanania mbaya alijibu penny..!

baada ya kusikia maneno yale kenzy alinyanyuka haraka na kurukia funguo ya gari
huku akitoka nje
simu ikiwa bado sikioni kenzy akamuuliza peniela
nitajie maeneo uliopo..?
nipo barabara ya mwendapole alijibu penny..
okay nyoosha na hiyo barabara sasa hivi ntakuwa hapo,nenda mwendo wa kawaida na fanya kama haujawashtukia..ten minutes i will be there.

sawa kenzy fanya haraka me naogopa alijibu penny

Loading....
initializing....
error
manizzle
 
Back
Top Bottom