SEHEM YA 7
aliyepaswa kwenda kuonana na Deus na kwa kuwa hawez
i
kutoka ndani ya jumba lile itabidi kazi hiyo niifan
ye mimi na
Anitha.Tutakwenda kuonana na Deus Mkozumi” akawaza
Mathew wakati akiandaa mlo wa asubuhi .Kisha maliza
kuandaa akamfuata Anitha chumbani akamuamsha.
“ Wake up pretty angel ....” Akasema Mathew.Anitha
akafumbua macho na kutabasamu
“ C’mon Mathew I was dreaming..” akasema kwa
sauti laini
“Umeiharibu ndoto yangu”
“ I’m sorry Anitha muda wa ndoto umepita.Huu sasa
ni muda wa kazi so wake up” akasema Mathew.Anitha
akainuka huku akiona aibu kidogo kwani alikuwa
mtupu.Akavaa nguo na kumtazama Mathew
“ Thank you Mathew.Sijawahi kuwa na usiku mzuri
kama wa jana.You are real amazing.Last night I felt
like....ouh
gosh I dont know how to explain it” akasema Anitha
.Mathew
akatabasamu na kusema
“ Thank you too but that wont happen again
Anitha.Let us forget what happened and pretend like
nothing
happened”
“ Its ok Mathew it wont happen again .Lakini narud
ia
tena kukushukuru kwa namna ulivyoufanya usiku wang
u
kuwa mzuri.Leo nimeamka vyema na akili yangu imetul
ia na
tayari kwa kazi.Lets get back to work” akasema Anit
ha
“ Breakfast is ready” akasema Mathew na baada ya
Anitha kujiswafi wakaelekea kupata kifungua kinywa.
“ Any news from Peniela or Anna? Akauliza Anitha.
“ Anna kanitumia ujumbe kanitaarifu kuwa atakuja
baadae ila kwa Peniela bado sijapokea taarifa yoyot
e toka
kwake kwani hakubeba simu.Nina wasi wasi sana na usa
lama
wake ndani ya jumba lile”
“ She’ll be fine don’t worry.If anything happens s
he
can handle it” akasema Anitha
“ Lazimaniwe na wasi wasi kwa sababu John
Mwaulaya kabla ya kifo chake alinisisitiza kwamba k
wa
namna yoyote ile hata ikibidi kuweka rehani maisha
yangu
nihakikishe Peniela yuko salama kwa hiyo endapo mpa
ka
mchana wa leo sintapata taarifa yoyote toka kwake
itakwenda kumtoa mle ndani mimi mwenyewe.I don’t kn
ow
wh....” Kaba hajamaliza sentesi yake kengele ya getin
i
ikalia.Mathew akainuka na kwenda katika chumba chen
ye
luninga zilizounganishwa na kamera za ulinzi
“ Kareem !! akasema Mathew na kutoka akaelekea
getini akamfungulia Kareem geti akaingia
“ Karibu Kareem.Naamini Peniela amekutuma”
akasema Mathew
“ Ndiyo nimetumwa na Peniela”
“ Anaendeleaje? Is she safe there?
“ She’s mopre than safe.Amenituma nikuletee huu
mzigo na h ii bahasha” akasema Kareem na kutoka ku
ondoka
Mathew akamuomba asubiri akaenda chumbani na kuchuk
ua
simu akampatia
“ Mpe Peniela hii s imu”
Kareem akaondoka ,Mathew na Anitha wakaelekea
katika ofisi yao na kitu cha kwanza ilikuwa ni kui
fungua ile
bahasha iliyokuwa na karatasi ndogo ndani yake iliy
oandikwa
“ ABEL MKOKASULE..Find out who is he?
Mathew na Anitha wakatazamana.
***************
Taratibu za mwisho za kimila zilikamilika nyumbani
kwa Dr Joshua na hivyo kumpa nafasi Dr Joshua ya k
uondoka
kuendelea na majukumu mengine ya kitaifa.Mtu wa kwa
nza
kuonana naye baada ya kurejea ikulu ni Dr Kigomba
“ Kigomba nimekuita hapa kuna mambo kadhaa
ambayo nataka tongee” akaanzisha maongezi Dr Joshu
a
“ Kwanza kabisa nataka nikupe pole sana kwa kifo
cha Jacob Kateka.Nafahamu wewe na Jacob mlikuwa mar
afiki
wakubwa .Hata mimi kifo chake kilimuumiza sana.Nasu
biri
taarifa za uchunguzi wa kifo chake ili tufahamu nin
i
kilisababisha hiyo ajali.Tumempoteza mchapakazi mzu
ri
sana.Mungu amempumzisha mapema” akasema Dr Joshua
halafu ukapita ukimya mfupi akaendelea
“ Tukiachana na taarifa hizo za kustusha za kifo c
ha
Jacob ,ninataka nikushukuru binafsi kwa ushirikiano
wako
mkubwa katika msiba wa mwanangu.Kazi uliyoifanya n
i
kubwa na mimi na familia yangu tunawiwa deni la
shukrani.Kwa niaba yao nasema ahsante sana Kigomba
.Wewe ni rafiki wa kweli.”
“ Nashukuru sana mheshimiwa rais.Ule ulikuwa ni
msiba wetu sote kwa hiyo juhudi za kila mmoja wetu
zilihitajika” akasema Kigomba
“ Jambo lingine ni kuhusiana na sintofahamu
iliyojitokeza katika ule mpango wetu.Yalijitokeza m
ambo
kadhaa likiwamo na hili la msiba na ndiyo maana
nikasimamisha zoezi zima”
“ Tukiachana na hilo la msiba ,nini kingine kilito
kea?
Nahitaji sana kufahamu”
“ Kama utakumbuka usiku ule tukiwa
msibani,niliondoka ghafla bila kukutaarifu naelekea
wapi.Nilipigiwa simu na Rosemary Mkozumi akanitaka
niende
nyumbani kwake haraka kuna jambo la maana sana anat
aka
kunieleza.Nilipofika kwake akanikutanisha na jaji
Elibariki.Aliniambia kwamba jaji Elibariki ana mamb
o
makubwa ya kunieleza.Niliondoka naye hadi msibani n
a
baadae usiku ndipo nikakaa naye akaanza kunieleza
mambo.Alisema kamba baada ya kumuacha huru Peniela
alitaka kufahamu kuhusu nani hasa aliyemuua Edson n
a
ndipo alipoanzisha uchunguzi.Kazi hiyo alimpa rafik
i yake
aitwaye Mathew ambaye aliwahi kufanya kazi katika i
dara
yetu ya usalama wa taifa na aliacha baada ya famili
a yake
kuteketea kwa moto.Wakati rafikiye huyo akiendelea
na
uchunguzi Dr Flora akafariki na Flaviana akamuomba
Elibariki
amsaidie kwa kila nama awezavyo kufahamu kilichomuu
a
mama yake.Elibariki naye akamkabidhi kazi hiyo Math
ew
ambaye alifanikiwa kugundua kilichomuua Flora na nd
ipo
akatuletea ile ripoti tuliyoikataa.Mpango wa kumuua
ulishindwa kwani aliokolewa na Jessica Yule aliyewa
hi kuwa
mlinzi wangu kama unakumbuka”
“ Jessica? Kigomba akashangaa
“ Ndiyo,aliokolewa na Jessica”
“ How? Jessica alifahamuje kuhusu mpango ule wa
kumuua Elibariki?
“ Alielekezwa na Amos.He was a traitor.Amos
alikuwa anafanya kazi na Team Sc41”
“ Team Sc41? Ni kampuni gani hiyo? Akauliza Dr
Kigomba
“ Hii si kampuni .Hiki ni kikundi kinachofanya kaz
i
kwa siri hapa nchini kwa ajili ya kulinda maslahi y
a
Marekani.Hata mimi bado sijakifahamu kiundani zaidi
naendelea kutafuta taarifa zake.Kwa mujibu wa Eliba
riki
hawa Team SC41 wanakitaka kile kirusi na Amos ndiy
e
aliyekuwa mtu wao waliyempandikiza.Si yeye peke yak
e bali
na Peniela”.
“ Ndiyo Peniela “ akasema Dr Joshua na ukimya
mfupi ukapita
“ kwa mujibu wa Elibariki walikuwa na timu yao ya
kuhakikisha nao wanakipata kirusi Aby.Timu hiyo ili
ongozwa
na huyo Mathew,akawepo pia Elibariki mwenyewe,Penie
la
na msichana mwingine nimesahau jina.Elibariki alida
i
kwamba baada ya kutafakari sana aliona hataweza
kupambana na mimi kwa hiyo akaamua kuwasaliti wenza
ke
na kumuachia huru Rosemary mkozumi ambaye alikuwa
anashikiliwa katika jumba la Mathew.Alimtumia Rosem
ary ili
kunifikia mimi.Alinielezea mipango yote waliyokuwa
wameipanga ili kukipata kirusi hicho na ndiyo maan
a
nikachukua tahadhari kwa kusitisha kila kitu hadi h
apo
tutakapojipanga upya vizuri ikiwamo kumuondoa Husse
in na
ujumbe wake pale walipokuwa wamefikia na kuwapeleka
sehemu nyingine.Kwa hiyo Kigomba hiyo ni sababu kuu
iliyonipelekea nisitishe kila kitu hadi hapo tutaka
pojipanga
upya”
Ukimya ukatawala mle ofisini,baada ya dakika mbili
Dr Kigomba akasema
“ Ahsante sana Dr Joshua kwa kueleza mambo hayo
mazito lakini kwa nini unieleze sasa? Nilikufuata
zaidi ya
mara moja kutaka kujua nini kimetokea na hukuwa tay
ari
kunieleza chochote.You didn’t even trust me” akasem
a Dr
Kigomba
“ What do you expect me to do Kigomba? I’m
surrounded by traitors so I chose not to trust anyb
ody
especially you Kigomba!! Dr Joshua akawa mkali kid
ogo
“ I sent you to spy n Peniela,what did you do?
Akauliza Dr Joshua.
“ Nothing...I didn’t do anything wrong Mr
President”akajibu Dr Kigomba.Dr Joshua akamtazama k
wa
macho makali na kusema
“ Kigomba wewe ni mmoja wa watu wangu wa karibu
sana.Please tell me the truth.Ulitembea na Peniela
na
akakupa ile saa ya dhahabu kama zawadi .Is that tha
t true?
Dr Kigomba akamtazama Dr Joshua kwa macho
makali na kuuliza
“ Elibariki ndiye aliyekueleza hivyo? Do you belie
ve
him? After all that you and I we’ve been through yo
u choose
not to trust me and you trust that good for nothin
g
judge?Ahsante sana Dr Joshua.Ahsante sana kwa kucha
gua
kumuamini Elibariki.Kesho asubuhi nitawasilisha kwa
ko
barua yangu ya kujiudhuru ili nikupe nafasi ya kufa
nya kazi na
watu unaowaamini” akasema Dr Kigomba na kuinuka aka
taka
kuondoka
“ It’s not like that Kigomba.Please sit donw.Usiwe
mwepesi kukasirika kiasi hicho” akasema Dr Joshua l
akini
bado Dr Kigomba alikuwa amesimama
“ Sit down Kigomba” akaamuru Dr Joshua na
Kigomba akaketi
“ Nisamehe Kigomba kama maneno niliyoyatamka
yamekukwaza.Sikuwa na lengo hilo.Naomba nikuweke w
azi
Kigomba kwamba Peniela ni mwanamke wangu.” Dr Kigom
ba
akastuka sana akamtazama Dr Joshua kwa sekunde kadh
aa
kisha akasema
“ I didn’t know that”
“ I’m telling you now” akasema Dr Joshua
“ Elibariki aliponieleza kuhusiana na wewe kutembe
a
na Peniela nilichukia sana sana.I love Peniela so m
uch and
she’s mine alone” akanyamaza akamtazama Kigomba na
kuendelea
“ Jana nimekutana na Peniela akanieleza ukweli
wote”
“ Amekueleza nini? akaulizia Kigomba kwa wasi wasi
.
“ She told me the truth”
“ What truth Dr Joshua? Akauliza Kigomba huku wasi
wasi ukimzidi
“ Kuhusu Elibariki.Yale yote aliyonieleza Elibarik
i ni
uongo mtupu.Kumbe amekuwa akishirikiana na Rosemary
Mkozumi kupanga mipango ya kunihujumu.Wanapanga
mipango ya kukipata kirusi na kibaya zaidi alichok
ifanya
Elibariki amekuwa akimtaka peniela kimapenzi kwa ki
singizio
eti yeye ndiye aliyemuachia huru.Baada ya peniela
kumkatalia ,jaji Elibariki alimbaka!!!!..Sura ya Dr
Joshua
ikabadilika na hasira za wazi wazi zikaonekana
“ Kibaya zaidi baada ya kumbaka alimtolea vitisho
vya kumuua endapo atanieleza suala hilo.Juzi usiku
Peniela
alivamiwa na watu nyumbani kwake waliokuwa na lengo
la
kumuua lakini akafanikiwa kutoroka na watu wale
wakaichoma moto nyumba yake wakateketeza kila
kitu.Elibariki is a snake!!! Akasema Dr Joshua kwa
hasira
“ Peniela anaishi wapi kwa sasa?
“ Anaishi kwenye ile nyumba yangu ya
ufukweni.Elibariki ameniudhi sana na nitamfunza
adabu.Alinifanya niwachukie watu wangu wa maana kwa
maneno yake ya uongo” akasema Dr Joshua na kumfanya
Dr
Kigomba ashushe pumzi.
“ Wakati mwingine ukiletewa taarifa kama hizo
unatakiwa kujadiliana kwanza na wenzako” akasema Dr
Kigomba
“ Usemayo ni ya kweli Kigomba.Mambo yetu mengi
yamekwama.Hivi sasa tayari tungekwisha maliza biash
ara
yetu na Hussein.