Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaahahahaha hata mm mwisho sijaupenda Ila ndo story Asante lege nimeinjoi.Mwisho ovyooo kama bongo movie
Mfyoooooooo
Who's willy gamba.?Hii nikisoma kama nacheki movie vile. Inanikumbusha enzi za akina Willy Gamba
Kiukweli Mwisho Sijaupenda Wahusika Hawa Mtunzi hakuwatendea Haki
Anita na Anna
Pia Mtunz kamshusha hadhi alokuwa nayo Mathew kwani uzembe wake wa kutokukiweka Kirusi ktk Sehemu Salama ndo uloleta Maangamivu ingependeza kama angefanikiwa kukitia Mikononi kuliko kazi yote na Damu ya Noah kumwagika pasina faida ilhali Mwaulaya alifanikiwa kutunza kirus leo Mathew kashindwa kukipata
Pia Kiujumla Mtunz kaonesha kuchoka Labda sababu ya Urefu wa Riwaya ama kutaka kuingia Sokoni lakini Kwa Ujumla Wahusika kawauwa kwa Mara moja na kutuaminisha hivyo ilhali akiicha Jamii kwenye Taharuki
Binafs nimekosa Raha kabisa
Yap..nguvu, akili na rasilimali nyingi vimetumika lengo likiwa ni kuzuia maafa ya kirusi.....kile kirusi kilitakiwa kilindwe haswaaaaa....Huku mwishoni mtunzi ametetereka kidogo, kazi kubwa aliofanya Mathew na wenzake haikupaswa kuishia kwa kirusi kusambaa, Tena katika nchi yao wenyewe
Yani hizo sehemu mbili za mwisho nimesoma huku nimenuna sana..Mwisho ovyooo kama bongo movie
Mfyoooooooo
Kabisa. Nimeionja kidogo ni sheeedapowa mkuu haina shidaa.
na kikiisha hicho tunahamia kulee kwenye WIMBO WA GAIDI hiyoo sasa ni zaidi ya peniela
Shurani kiongozi[emoji4]SEHEM YA 43 NA........................
bila mafanikio hadi leo hii nilipofanikiwa.Mathew n
ataka tu
nikwambie kwamba mimi na wanangu tulichukuliwa na
kuletwa Marekani na tuliambiwa kwamba umefariki dun
ia
kuna watu wamekuua na kwamba hata sisi tulikuwa
tunatafutwa tuuawe.Nililia sana na nilijilaumu sana
kwa nini
ukachagua kuifanya kazi ile ya upelelezi? Baada ya
kufika
Marekani tulianza maisha mapya na baada ya miaka mi
tatu
nikapata bwana nikaolewa nikijua kwamba umekufa.Kwa
sasa mimi na wanangu tuna uraia wa Marekani na toka
nilipoondoka Tanzania sijawahi kurejea kwani John
aliniambia kwamba sitakiwi kuonekana tena Tanzania
kwani
siku nikitia mguu wangu ndio utakuwa mwisho wangu.K
wa
sasa nina watoto wawili kwa huyo mume wangu mpya na
tunaishi kwa furaha.Nimebadili jina naitwa Martha.
Wanao
wote wazima na wanaendelea vyema na maisha yao ila
maisha yao yamebadilika ghafla baada ya kugundua kw
amba
baba yao yu hai.Jambo hili limewastua sana .Tumewat
afutia
mtaalamu wa saikolojia ambaye anaendelea kuwasaidia
wakubaliane na hiki kilichotokea.Watakapokuwa tayar
i
watakuja kuonana nawe but for now they are not read
y
yet.Mathew sitaki kuchukua muda wako mwingi ila nap
enda
kukwambia kitu kimoja kuwa kazi yako uliyochagua ku
ifanya
ndiyo iliyofanya hadi mambo haya yakatokea.Ndiyo
iliyotutenganisha.Mara nyingi nilikuwa nikikusisiti
za uachane
na kazi hiyo lakini hukutaka kunisikia hadi yalipo
tokea haya
yaliyotokea.Ninachotaka kukushauri ni kwamba umepat
a
mke mzuri sana na nina hakika ameirudisha furaha ya
ko
tena.Peniela ni mwanamke mrembo na dunia nzima
inamuheshimu nakuomba ,muheshimu ,mtunze na
usimuumize kama mimi kwa sababu ya kazi hiyo
uifanyayo.Ukitaka maisha yako yawe na furaha achana
kabisa
na hiyo kazi unayoifanya.Huwezi kuwa na maisha ya k
awaida
yenye furaha na amani ukiwa katika kazi hiyo.Nawata
kia
maisha mema yenye furaha na amani na mpatapo nafasi
mjapo hapa Marekani msiache kuja kututembelea.Ahsan
te
sana Mathew na fungate jema.” Akamaliza Zita na kuk
ata
simu.Mathew na Peniela wakaangaliana
“ Ni mipango ya Mungu mimi na wewe kuwa
pamoja.Yote yaliyotokea yametokea ili mimi na wewe
tukutane.Let’s enjoy life my angel” akasema Mathew
na
kumbusu Peniela wakainuka na kuingia majini kuogele
a.
TAMATI
UKITAKA KUJIPATIA RIWAYA/STORY YA KIJASUSI NA YAKUSISIMUA YA WIMBO WA GAIDI. KUTOKA KWA MTUNZI WAKO MAHILI NA BINGWA WA RIWAYA ZA TAHARUKI HUSSEIN ISSA TUWA .KITABU KINAACHIWA WIKI HII
0655428085 WAHI NA UPATE COPY YAKO MAPEMAA .KAMA UJUAVYO VITABU VYA TUWA HUWA VINAGOMBEWA KAMA NJUGU.
Shukurani kiongozi[emoji4]