Hayo ni mawazo yakoNadhani Ni vema mtunzi akazingatia mawazo ya wasomaji na kufanya marekebisho then atoe ! kitabu .
Napendekeza asimuue Anita kwani alivumilia MNO MATESO makali kule mke wa rais mtaafu Bi Nkozumi , ningependa kuona akifaidi maisha baada ya Uaminifu ule. Ni vzr pia kumng'arisha zaidi Mathei Kwa uaminifu wake jinsi alivyoweza kutotembea na Paniela na Asha mtoto wa Rais, Zaidi ya Yote Nakushukuru Sana Mr. Lege Kwa Juhudi zako, kitabu kikikamilika tufahamishane ili nikinunue hima
Sent from my Infinix-X551 using JamiiForums mobile app