Peniela (Story ya kijasusi)

Peniela (Story ya kijasusi)

Nadhani Ni vema mtunzi akazingatia mawazo ya wasomaji na kufanya marekebisho then atoe ! kitabu .
Napendekeza asimuue Anita kwani alivumilia MNO MATESO makali kule mke wa rais mtaafu Bi Nkozumi , ningependa kuona akifaidi maisha baada ya Uaminifu ule. Ni vzr pia kumng'arisha zaidi Mathei Kwa uaminifu wake jinsi alivyoweza kutotembea na Paniela na Asha mtoto wa Rais, Zaidi ya Yote Nakushukuru Sana Mr. Lege Kwa Juhudi zako, kitabu kikikamilika tufahamishane ili nikinunue hima
Hayo ni mawazo yako

Sent from my Infinix-X551 using JamiiForums mobile app
 
Captein amos ni double agent aisee...!!....selikarini yumo.na sc 41 kunamuhusu pia....wapi ndipo anatumikia kwa uaminifu....???...
Jamaa ni triple agent na anatumikia kwa uaminifu upande wa rais mstaafu mh deus
 
Staring wangu alikufa kwa ugonjwa John mwaeurope (mwaulaya )kwangu ndio alimaliza mchezo wote.Mapenzi na binadamu wenzie pia mtu wa kutimiza ahadi huruma nyingi mchanganyiko kidogo na ukatili busara nyingi aah John was a good man.
 
Najaribu kuangalia uhalisia wa wahusika wa mwandishi na wahusika wa jf ivi inawezekana kwel

Ilu a.k.a Peniela akawa anagawa tamtam ka paniela na akawa msaliti kwa kiasi kile hii hainiingii akilini kabisa.

Shunie a.k.a Anitha ivi ni kweli shunie ni jasli kiwango cha anitha hii kidogo inawezekana.

Kisu cha ngariba a.k.a Elibaeki hivi inawezekana kweli mwanaume akawa msaliti hii haiwezekani kabisa.

Mambo a.k.a Dr joshua ivi ni kweli ww jamaa ukipewa nchi ndo ivi utakavyoigeuza shamba la bibi

Kweli hii ni zaidi ya story asante lege asante mwandishi
Umenisahau Muzee kamanda Legend myself "John Mwaulaya Albert"
 
Mimi ni bwana wake wa kwanza kabisa Paniela,cha ajabu sijanasa! Sijui kwa sababu ya damu zake! Ila nilikufa
 
Kwaniaba yangu mwenyewe, naomba nitoe shukrani za dhati toka kumtima kwa Man LEGE, kwa kutushushia burudani hii murua kabisa bila gharama.

Brgds,
The Late Muzee kamanda "John Mwaulaya Albert"
 
Nadhani Ni vema mtunzi akazingatia mawazo ya wasomaji na kufanya marekebisho then atoe ! kitabu .
Napendekeza asimuue Anita kwani alivumilia MNO MATESO makali kule mke wa rais mtaafu Bi Nkozumi , ningependa kuona akifaidi maisha baada ya Uaminifu ule. Ni vzr pia kumng'arisha zaidi Mathei Kwa uaminifu wake jinsi alivyoweza kutotembea na Paniela na Asha mtoto wa Rais, Zaidi ya Yote Nakushukuru Sana Mr. Lege Kwa Juhudi zako, kitabu kikikamilika tufahamishane ili nikinunue hima

Anaitwa Anna na sio Asha mkuu
 
Code:
NATAMANI EPISODE YA MWISHO IRUDIWE
Me nawashangaa kwa kweli yaani kama vile hamzijui riwaya pendwa. Mtunzi nampa mia kwa mia maana ili kitu kilete hamasa lazima kiende tofauti na mategemeo ya hadhira ili kujenga huruma, chuki au furaha na km ingeenda ktk mategemeo ya watu bas tunasema mtunz kashindwa maana unaweza kutabili mwisho wa riwaya.
 
Mkuu LEGE nakusalim tu.Heshima yako iko kwenye riwaya nzuri kama iliyopita.....Bado tunasubiri uteme cheche
 
Ukiangalia kwa makini haya yote uliyojiuliza, jibu linakuja kwamba kulikuwa na uwezekano wa kuandika Season ya 6.
Hivi zile hela alizowekewa rais kwenye zile account mbili za kingine atazichukua Nani?maana raisi amekufa na aliyeziweka amekufa pia nina uhakika Dr kigomba hawezi kuzichukua hizo pesa maana yupo gerezani..........Ana alikuwa mahututi alikufa au alibaki hai? Anita alizikwa bila ndugu zake kujua ......vip maisha ya edimud na mke wake huko marekani hawakumtafuta kwa nn kawasaliti......Nani alifata kuwa raisi baada ya rais kufa ikiwa wote waliokuwa wamepangwa kungombea walikufa ......
Natamani kuwe na part tu .....but lazima season 5 ibadilishwe ndiyo inawezekana kupatikana ..........

Hongera mwandishi ......LEGE big up brother msalimie mwandishi
 
Mkuu LEGE salaams.Tulikupa one week ya mapumziko sasa imeisha twende kazi.
 
Mkuu Lege shikaomoo umetisha sana kwa hii kitu Mungu aKubariki sana maana nilishaacha kusoma Riwaya toka nimeibiwa kitabu cha mkimbizi bila kukimaliza basi nikakata tamaa lkn kupitia Peniela umenirudisha kwenye matari
 
24hrs ilinifanya kuwa mtumwa ndani ya wiki nzima sikuangalia hata taarifa ya habari. Hadi leo haipiti wiki bila kuiangalia japo kidogo

Mkuu, tafuta Designated Survivor kama ulikuwa mpenzi wa 24, ndio kwnza ina 3 episodes.
 
Back
Top Bottom