Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Queen monica mkuuJamn ipi nyingine Kali size ya peniela?
Miss Tz kaandika huyu huyu mwandishiJamn ipi nyingine Kali size ya peniela?
Kikosi cha siriJamn ipi nyingine Kali size ya peniela?
Huyo jamaa acha kabisa ..sijawahi kuona muandishi kama huyu kwa wakati huu hapa tzMiss Tz kaandika huyu huyu mwandishi
Zipo nyingi ila zote za huyu huyu muandishi Patrick ck ... Kuna miss Tanzania. . Etc ..view profile ya gele kisha nenda sehemu ya post zake uki view content utazikuta baadhi ya story za jamaaJamn ipi nyingine Kali size ya peniela?
ile 7m naona kama imepotea maana inaonekana dokta hana anachojua.Duh! yaani kila inapoishia inakupa mushawasha wa kujua nini kinajiri kiukweli mtunzi mpangilio wako nimeukubali endelea unaweza kuwa musiba au Ben mtobwa mpya
Jamani Mimi natafuta kitabu nimekisahau jina kwa ufasaha ila nakumbuka mhusika mkuu anaitwa Jadu, alikuwa mtu wa maajabu maajabu , nakihitaji sana.ile 7m naona kama imepotea maana inaonekana dokta hana anachojua.
[emoji3][emoji3][emoji3]Usilete tena hii hadithi yako hapa Jana sijalala na sasa hivi nasinzia sinzia na kuchungulia kipande kingine kama kishaarushwa badala ya kufanya kazi
Huwezi nisomesha hivyo mimi
Fyuuuuuuuu!!!;;!!!!!!!
Uyu hata kuwa judge alikua hafai.... Alipewa u judge huyuuu kwakua tuu Ni mkwe wa raisiEli amenichukiza Sana yani nahisi ni ndoto tuu yani sio ukweli alichofanya
[emoji3][emoji3][emoji3]Jaji alivyo mpuuzi hajajitaja yeye kama alikua anamtafuna peniela