Peniela (Story ya kijasusi)

Peniela (Story ya kijasusi)

Lege inaonekana wewe ni mdau mkubwa wa Riwaya kama mimi. Kwa kweli siwezi orodhesha idadi ya riwaya nilizosoma. Nimeanza kuvutiwa kusoma kipindi nipo darasa la 3. By then nilikua naona mama akisoma sana riwaya za enzi hizo. Nami nikawa nasubiri amalize ili nisome. Kwa kweli nilikuwa na vutiwa sana. Nilikuwa msomaji mzuri kwa sababu kipindi cha magazeti ya sana nilikuwa nawasomea washkaji class. Watu wamekuzunguka hivyo unasoma kwa sauti wote wasikie. Nilikuwa nina library ya hizi riwaya kibao. Nikisafiri kwa basi pale Ubungo lazima ninunue ndani ya basi naburudika bila kuchoka. Zikaja zile za Shigongo, nilikua nakesha kwa utamu. Jamani riwaya ni tamu sana kama unazikubali. Bora nisiangalie movies lakini nisome riwaya yenye msisimko. Mathalani hii riwaya imenikumbusha enzi hizo riwaya za kipelelezi na ukichukulia hakukua na technologies kama simu na computer lakini kila kitu kilikuwa kitavutia.
kwel mkuu ili liwaya ameenda extral mile zaidi ya move
 
Habari mambo naitwa Mr Equator Nimeandika ujumbe huu kuku omba swala moja tu!
Mimi nimetengeza website ya ku share story ambayo ni EquatorStory
Je umekuwa ukipata tabu kupost story zako hapa?
Hili ndo suluhisho lako.
Mimi nataka nkupe nafasi ya kuwa mmoja wapo wa kwanza kutumia hii website
unda account yako na uweze kupost story yako mpya.
 
Hii story mwisho wake ni kama virus wa korona hivi, au mwandishi alitabiri hili?
 
Kumbe nilichelewa vitu vitamu viko huku, nilikuwa mzembe kusoma Peniela na Mathew mmeniondolea uvivu
Hongera mtunzi
 
Back
Top Bottom