Qurie
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 3,644
- 3,880
[emoji23][emoji1787]Ni suala la muda tu, Huyo Peniela ataanza kumuona Askofu Edmund kuwa ndiye mwanaume wa maisha yake na hakuna mwingine duniani kama Askofu Huyo!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji1787]Ni suala la muda tu, Huyo Peniela ataanza kumuona Askofu Edmund kuwa ndiye mwanaume wa maisha yake na hakuna mwingine duniani kama Askofu Huyo!!
Ina maana hii inafuatiliwa ?
Nina uhakika kuna kitu Jiwe kajifunza kupitia riwaya hii.
Nalog off
John MwaulasaBaba yake aliuliwa na Joni mwaulanga
kwel mkuu ili liwaya ameenda extral mile zaidi ya moveLege inaonekana wewe ni mdau mkubwa wa Riwaya kama mimi. Kwa kweli siwezi orodhesha idadi ya riwaya nilizosoma. Nimeanza kuvutiwa kusoma kipindi nipo darasa la 3. By then nilikua naona mama akisoma sana riwaya za enzi hizo. Nami nikawa nasubiri amalize ili nisome. Kwa kweli nilikuwa na vutiwa sana. Nilikuwa msomaji mzuri kwa sababu kipindi cha magazeti ya sana nilikuwa nawasomea washkaji class. Watu wamekuzunguka hivyo unasoma kwa sauti wote wasikie. Nilikuwa nina library ya hizi riwaya kibao. Nikisafiri kwa basi pale Ubungo lazima ninunue ndani ya basi naburudika bila kuchoka. Zikaja zile za Shigongo, nilikua nakesha kwa utamu. Jamani riwaya ni tamu sana kama unazikubali. Bora nisiangalie movies lakini nisome riwaya yenye msisimko. Mathalani hii riwaya imenikumbusha enzi hizo riwaya za kipelelezi na ukichukulia hakukua na technologies kama simu na computer lakini kila kitu kilikuwa kitavutia.
Vipi panaridhisha?Naweka rasmi kituo hapa