Penny amchana Diamond....Adai angezaa naye angemharibia midomo na sura za watoto wake...!!

Kale kahadithi ka sungura yuko pembeni ya mgomba akiruka kuchukua ndizi, alipokoswa alisemaje?
 
Sizitaki mbichi hizi.....
ha haaa, kuna rafiki yangu nakumbuka enzi hizo anatokewa na mkaka mmoja anakuja kutuambia, tulikuwa tunasema hivyo hivyo, naye alikuwa mchangiaji mkuu kuwa the guy is ugly kwa hiyo atazaa watoto wabaya...... siku hizi anamwita sweetie na wana watoto wa3......na anawaona wazuriiiiiii
 
Utaongea mengi kujipa moyo ila ukweli ni kwamba inakuuma hiyo tena inakuumiza sana,ni bora ukae kimya tu uendelee na yako
 
Nyani Ngabu;

Sizitaki mbichi hizi.....


Damn right! Sihitaji kujua kwa nini wameachana lakini kusema eti wangezaa watoto wangekuwa wabaya is just LAAME!
 
Kinachonishangaza mie Ni hiyo mitusi na kuzalilishana wanapoachana then wanarudiana bila kuonekana aibu.
hivi ukiachana na mtu Si ukae kimya Tuu
 
Hay a mnayoyaona nimisingi iliojengwa name wazazi wao wakulaumu so wao tafuteni background za manager Zhao kwanza

Jinsi ulivyo wewe leo,ni taswira ya mazingira uliyokulia.
Mwanhalie mama diamond na mama wema;wote ni mashanging na masugar mami tofauti mmoja wa uswazi mwingine wa ushuani.hivyo msishangae watoto wao
 
jinsi ulivyo wewe leo,ni taswira ya mazingira uliyokulia.
Mwanhalie mama diamond na mama wema;wote ni mashanging na masugar mami tofauti mmoja wa uswazi mwingine wa ushuani.hivyo msishangae watoto wao

trueeeeeeeeeeeeee……yes indeeeed…!!!!!!!!
 

Duh huyo Penny amekuchukulia bwana nini?
 
Penny umevurugwa kwa kuachwa ,wakt mnalalana hukuliona hlo domo ,, watcha kujitia ashuo la mbuzi kunya vipoopoo, sasa na huyo Diamond akiamua akuchambue kuanzia sura mpaka shepu utabaki nn ww mvaa miremba,, we ushatemwa pga kimya fanya yako mambo ya domo ha2tak kuyasikia,, watcha movie iendeleeeee ya WEMA NA DIAMOND! Ww tena kaa chonjo..
 
[TABLE="class: outer_border, width: 500, align: center"]
[TR]
[TD]midomo yao wote wawili almost inalingana tu!
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]sijaona hasa tofauti yao kubwa!
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]yeye kama alitaka kutimiza malengo yake kupitia naseeb, basi her navy sheep has been kidnapped by the pirate, sepetunga!!
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…