Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha haaa, kuna rafiki yangu nakumbuka enzi hizo anatokewa na mkaka mmoja anakuja kutuambia, tulikuwa tunasema hivyo hivyo, naye alikuwa mchangiaji mkuu kuwa the guy is ugly kwa hiyo atazaa watoto wabaya...... siku hizi anamwita sweetie na wana watoto wa3......na anawaona wazuriiiiiiiSizitaki mbichi hizi.....
happy new year my dear friendSizitaki mbichi hizi.
Magzeti ya inji hii bana
utazani aliyasema kweli hayo maneno
Hii movie ina part ngapi? Naona ndeeeefu kama isidingo.
Hay a mnayoyaona nimisingi iliojengwa name wazazi wao wakulaumu so wao tafuteni background za manager Zhao kwanza
jinsi ulivyo wewe leo,ni taswira ya mazingira uliyokulia.
Mwanhalie mama diamond na mama wema;wote ni mashanging na masugar mami tofauti mmoja wa uswazi mwingine wa ushuani.hivyo msishangae watoto wao
Mwanamke akishapandwa huwa thamni inashuka kabisa,kumbuka bila diamond hakuna ambaye angekufaham,afu mbona na wewe ni kijeba??,aka dume jike,kwan hujioni ulivo komaa??,we si wakati uko chuo mwaka wa kwanza ulikuwa unavunga mgumu mgumu na kamapani ya mamen??,nakufaham sana yan hapo hakunakitu ni kipodoz tu shepu kama ngasa.kwanza hata huyo unaemuita domo alibugi