SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
Wajumbe haizidi 100m TZSAKIINGIZA KWENYE KAMPENI KUWAHONGA WAJUMBE KIINUA MGONGO KINAKWENDA....
Leo na COVID 19 pamoja na Baba Askofu Mkuu Dr Gwajima (PhD) watakuwepoSawa kwani bunge linavunjwa lini ?
Kuna asilimia kadhaa Wanatakiwa kuziwasilisha kwenye Chama kwa ajili ya kuimarisha Chama.Wabunge wa COVID 19 nao wanalamba mamilioni kimasikhara! Mjini mipango
Chama gani hao COVID hawana Chama labda useme wampelekee Rango na Sabufa ya asante kwa kuwalindaKuna asilimia kadhaa Wanatakiwa kuziwasilisha kwenye Chama kwa ajili ya kuimarisha Chama.
(10 M x 12 x 5)+( 0.6 M x12 x 5)= 600M + 36 M =636 M.Kama ulikuwa unalipwa mil 16.5M kila mwezi na posho ya lakisita in five years je unakosaje pesa ya Ku-run shughuli zako za kisiasa.?.
Kias kidogo kivip ?(10 M x 12 x 5)+( 0.6 M x12 x 5)= 600M + 36 M =636 M.
2M--->0.007M/month
636M---> x/month
X= 2,226,000tzs/month.
===
Hiki ni kiasi kidogo sana cha pesa unaweza kupatakwa mwezi uliamua kuwekeza kwenye risk free business kwa Sasa kwa kutumia hela hizo.
Faida unayopata ni sawa na asilimia 0.35 yaani 0.35% ya hela zote hizo, wakati discount rate ya BoT nadhani ni kati ya 7-9%Kias kidogo kivip ?
Unazingua endelea na habari nyingineFaida unayopata ni sawa na asilimia 0.35 yaani 0.35% ya hela zote hizo.
Mjaze mafomu km wanavojaza watumishi wengine wa umma1. Pensheni ya Wabunge kwa 'utumishi' wao wa Miaka 5 ulipwe Leo Leo kupitia akaunti za benki kabla ya parapanda ili kila mtu apambane kivyake.
2. Mambo ya kujazishana mifomu na kufuatilia Hazina sio.
**Wabunge wa COVID 19 nao wanalamba mamilioni kimasikhara! Mjini mipango
Tuliza shoboHivi na wao kikokotoo kinawakata ee?au ni Kwa walimu tu? Hovyo kabisa
Ni kwa walimu tu ππHivi na wao kikokotoo kinawakata ee?au ni Kwa walimu tu? Hovyo kabisa
Ka nchi ka hovyo sana haka.Ni kwa walimu tu ππ