Pensheni ya Wabunge ilipwe Leo kabla ya Bunge kuvunjwa

Pensheni ya Wabunge ilipwe Leo kabla ya Bunge kuvunjwa

1. Pensheni ya Wabunge kwa 'utumishi' wao wa Miaka 5 ulipwe Leo Leo kupitia akaunti za benki kabla ya parapanda ili kila mtu apambane kivyake.

2. Mambo ya kujazishana mifomu na kufuatilia Hazina sio.

**Wabunge wa COVID 19 nao wanalamba mamilioni kimasikhara! Mjini mipango
kwani we mbunge mstaafu unawasiwasi gani, no reforms no election
 
Karibuni wabunge mliomaliza muda tuchangie Chama Mlimani city.

**Askofu Mkuu Dr Gwajima usikose
 
Ubunge unalipa sana, ndo maana watu wanalogana na kuuana ili wapate nafasi ya kuwa wabunge wale keki ya taifa kiulaini
 
Wanapata kidogo sana kwa sababu ya madeni mkuu Mzee Ndugai ndio alikua anaweza kuwatengenezea mazingira wakapata chochote sijui huyu dada etu...
 
1. Pensheni ya Wabunge kwa 'utumishi' wao wa Miaka 5 ilipwe Siku ya kuvunja bunge kupitia akaunti za benki kabla ya parapanda ili kila mtu apambane kivyake na kuwaza vingine.

2. Mambo ya kujazishana mifomu na kufuatilia Hazina sio.

**Wabunge wa COVID 19 nao wanalamba mamilioni kimasikhara! Mjini mipango
Mbunge una njaa namna hii, hufai kuchaguliwa tena.
 
. Pensheni ya Wabunge kwa 'utumishi' wao wa Miaka 5 ilipwe Siku ya kuvunja bunge kupitia akaunti za benki kabla ya parapanda ili kila mtu apambane kivyake na kuwaza vingine.
sasa huku umeleta ili iweje?
Walipwe wasilipwe sie inatuhusu nini?
 
Back
Top Bottom