Pentagon is ready to destroy Iran atomic bomb

Vita ni vita hakuna anaeenda vitani akiwa na uhakika 100% kushinda, hata Vietnam au Afghanistan naona kote walilizwa ,may be kwa sababu si watoto wa viongozi wanaokwenda vitani. Hizo ndege zinaweza kuangushwa kama makaratasi dunia ikabaki inashangaa. Merakani ni powerfull lakini ina weaknesses nyingi ,tusubili vita ianze ndio tutajua ukuu wao uko wapi
 
Hii ni atomic ( mother of all nuclear ) linaharibu nchi in one second .hakuna nchi yenye only USA
 

Attachments

  • 4D0C7C75-567B-457E-835E-77DF18AEA6FC.jpeg
    9.7 KB · Views: 1
Wanawake kibao tu wanamidevu vingunguti unataka kusemaje?
 
Hiyo vita wanaenda kupigania wapi?

Naona watu wana hamu ya vita na swali hili hawajiulizi

Hewani .haitokuwa vita Ila ndege zinavamia nchi in a second shusha bomu zote na zinarudi
 
Wape Moyo Wajichanganye Wachakazwe
 
Hii ni atomic ( mother of all nuclear ) linaharibu nchi in one second .hakuna nchi yenye only USA

Vita sio lelemama wewee!

Leo hii bado wanapambana kurudisha gharama za kumtoa Saddam kwa kuwa Hata Vibaraka wao wamewageuka ndani ya Iraq wanashirikiana na IS na Iran kuhakikisha kila tone la Mafuta linalifyonzwa Iraq basi waache damu ya Wanajeshi wao

Vita halisi ni tofauti sana na yale maigizo ya kina Rambo na vandamme
 
Hivi mmesahau Sadam .mpaka Dakika ya mwisho alifikiri Usa wanatania .Alivyoamka usiku nchi imeengiliwa
 
Ila Schwarzenegger ni vita kweli. uongo?
 
 

Attachments

  • 2A39D017-E9D2-4F19-916E-C7E69BB182F5.jpeg
    9.7 KB · Views: 1
  • FB18183F-29AA-4B5D-94E3-985CCCE5B716.gif
    24.7 KB · Views: 1
  • F9ED5E32-05C0-460E-AE1F-BFBD9B7BAF5C.png
    232.6 KB · Views: 1
  • 50AFF710-6D2D-42D9-B034-954AE1AA4E67.jpeg
    16.5 KB · Views: 1
daaaaah kwakwel watu wana idharau iran kinoma lolote linaweza kutokea! ata ikitokea marekani ikampiga iran naiman ata iran lazima imtikise kidgo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran atapigwa kipigo ambacho hakitakuja kusahaulika ,watapigwa haraka sana na kwa nguvu nyingi kwa sababu Marekani anaamini anapigana na gaidi linalohitaji kuangamizwa kabla halijaleta madhara
 

Attachments

  • 3A0AD65F-4C6D-4E43-B345-F138C7E3EFD5.gif
    24.7 KB · Views: 1
  • D7FFB7E2-FBD7-4146-AAA6-B91C8BA6EC19.png
    232.6 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…