TIASSA
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 2,926
- 3,530
Hawa wamarekani wanataka tu kuchota mafuta na kuharibu globally economy hasa wa mchina na mrusi ili yeye azidi kuwa juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi mfano Iran angekaa kimya bila kujitunisha kifua kujibu malipizi,na akaamua kufyatua adui zake kimya kimya angepungukiwa nini,
Sifa za mtoto wa paka kujifanya simba zinaenda kusababisha nyumba nzima kuchomwa moto
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hivi kumbe mpaka muda huu unafikiri uamuzi ya kuivamia Iran ni maamuzi binafsi ya trump!??
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungesoma kwa kuelewa usingeuliza hili swali,Wanawake kibao tu wanamidevu vingunguti unataka kusemaje?
Atakuwa na viashiria vya mchezo wa wamarekaniUngesoma kwa kuelewa usingeuliza hili swali,
Nimesema Ndevu ni "Moja ya alama za mwanaume" narudia tena "moja ya alama za mwanaume"
naona kwa akili yako umeelewa kua ukiwa na ndevu tu basi tayari unakua mwanaume!
kwa kawaida ndevu ni kwa mwanaume,
Ukiona mwanaume anajisifia kutokua na ndevu au kukejeli wanaume wenye ndevu basi tambua kua huyo mtu ana tatizo sehemu.
Na ww uliamin Daud atauawa na Goliath?Licha ya nguvu nyingi wanaweza kuangamizwa vilevile. Kumbuka sio siku zote mwenye nguvu ndio ashindae. Kila mtu aliamini Daudi anaenda kuuawa na goliati lkn kilichomkuta goliati ni historia. By the way uzi wako ni porojo tu, hauna cha maana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiungo kimoja na ni pekee kinachomtambulisha mwanaume nacho ni uume.Ungesoma kwa kuelewa usingeuliza hili swali,
Nimesema Ndevu ni "Moja ya alama za mwanaume" narudia tena "moja ya alama za mwanaume"
naona kwa akili yako umeelewa kua ukiwa na ndevu tu basi tayari unakua mwanaume!
kwa kawaida ndevu ni kwa mwanaume,
Ukiona mwanaume anajisifia kutokua na ndevu au kukejeli wanaume wenye ndevu basi tambua kua huyo mtu ana tatizo sehemu.
Kumbe we ni Salem Maleku? 😥😥😥Wanawake kibao tu wanamidevu vingunguti unataka kusemaje?
Haaa haaaa haaaa
Vipi Tehran imeshakua majivu?Wafuga midevu salam kwenu jichanganyeni Tehran iwe majivu. Mlikuwa mnatafutiwa timing naona mnaelekea penyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app