Pentagon is ready to destroy Iran atomic bomb

Natalia, Tsar alikuwa Mtawala wa Urusi kabla ya mwaka 1917. Hivyo lazima ujuwe kuwa hiyo ni silaha yq Mrusi. Ni sawa na usikie Meli ya kivita inaitwa USS Theodore Roosevelt (CVN-71) ukasema ni ya Urusi.

Mabomu ya Maji yaani Hydogen Bomb ndiyo habari ya mjini kwa sasa. Achana na Nuke Bombs zimeshapitwa na wakati.

Soma hapo chini kuhusu Tsar na ndiyo utaelewa kwanini Putin wakati mwingine wanamuita Tsar.

The Soviet RDS-202 hydrogen bomb, known by Western nations as Tsar Bomba, was the most powerful nuclear weapon ever created

 
Watapigania Irani mkuu.

Hili kila mtu anajua.
Hii ni endapo Marekani ndiye atayeanzisha mapambano...

Lakini kwa hali ilivyo inaonesha Iran ndio wanaochimba biti kitu kinachoifanya kuweza kuwa vita ya piga nikupige...vita za kulenga vitu fulani mathalaninkambi za jeshi, mali kubwa kubwa za ama US au Iran...

Hivyo kupata karibu kila taifa ambalo lina mali za hawa mafahari wawili kujikuta ni uwanja wa vita...(think of WWII vile ilikuwa)
 
Wachangiaji kama wewe ni wachache sana jukwaa ili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawasawa...
 
Wale watu ni hatari Sana, just imagine kuanzia kipindi cha ottoman empire mpaka kipindi cha muingereza, hakuna mtu hata wala taifa hata moja lililowahi itawala Iran.

Hiyo inamaanisha ni taifa linalojitambua na ndio maana wapo vizuri kwenye kila nyanja.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran/Iraq ni chimbuko la mwanadamu na historia kubwa ya wanadamu imelala maeneo hayo...

Hivyo ukitaka kupata mahali penye ustaarabu wa kale na muendelezo wa tawala zake, basi uajemi ni mahali sahihi...
 
Hivi mmesahau Sadam .mpaka Dakika ya mwisho alifikiri Usa wanatania .Alivyoamka usiku nchi imeengiliwa

Iraq ilikuwa utawala wa Mtu mmoja

Iran ni Taasisi, wamepita kina Hashim Rafsanjan, Ahmed Najad, Khatami n.k lakin foreign policy yao imebaki vile vile

US wakienda Iran wanaenda kuangusha tawala ya Tehran then what next?

Wazungu wana akili hawakurupuki kama Sisi

Tayari Democratic wametangaza hawapo tayari kwa Vita na Iran

Wanaanda Resolution Bungeni kumpiga stop Trump

Trump anataka kutumia vita na Iran kujipa umaarufu kuelekea UchaguZi
 
Mkuu hivi kumbe mpaka muda huu unafikiri uamuzi ya kuivamia Iran ni maamuzi binafsi ya trump!??
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…