Pentagon tests previously banned Ballistic Missile

Hayo maisha yataendeleaje baada ya Nuclear war na Nuclear fallout!?..
hivi hiyo Mutual Assured Destruction ni nini!?..
Maisha yataendelea kama kawaida hususani katika mataifa yatakayojitenga na vita hiyo. Hivyo hiyo 'Mutual Assured Destruction' itayahusu mataifa pekee yatakayoipigana hiyo vita na si vinginevyo.

Wakati taifa mojawapo lenye silaha za nyuklia litakapolishambulia taifa jingine lenye silaha hizo basi nchi hiyo iliyoshambuliwa nayo itajibu kwa silaha hizo hizo na mtindo utakuwa ndiyo huo wa 'kupiga na kujibiwa' mpaka pale kila upande utakapoishiwa kabisa uwezo wa kuendeleza mashambulizi. Hiyo ndiyo nadharia ya Mutual Assured Destruction.
 
Nadhani unajua USA hapigani akitokea nyumbani Mfano USA akaamua kuitumia Kenya kama base kucoordinate majeshi upande wa east afrika then Russia kuondoa hiyo base akatupa ICBM Kenya unahisi Uganda, Tz, Rwanda, Burundi etc tutaendelea na Maisha yetu kama kawaida!?.
Hivi unaichukulia Nuclear fallout ni kama mvua ikinyesha Kkoo basi Mnazi mmoja panaweza kuwa pakavu tu, hujaangalia mabadiriko ya hali ya hewa yatakayotokea Ukanda mzima!?. Umeiangalia displacement ya watu (wakimbizi) itakavyokuwa kubwa kukimbilia sehemu zisizo/zilizoathirika kidogo itakavyokuwa kubwa!?. Uchumi mkubwa wa dunia bado unategemea Mafuta unadhani Middle East itapona Russia akipigana na NATO/USA!?.
Hapo unadhani USA na Russia wakiingia basi watakuwa wao pekee, umemtoaje China, UK, NATO, Iran, NK, Israel, India, Pakistan?, wanaeza wasiingie directly lakini wakashiriki kisirisiri!. Warfare ni game ya logistics angani, ardhini na majini ina maana kote kutakuwa busy sasa Export na Import zitafanyikia wapi muda huo, Uchumi wa nchi gani utaendelea iwapo dunia tunaitegemea Dollar!?.
Mutual Assuared Destruction usitegemee itahusika kwa nchi zenye Mabomu ya Nuclear pekee hata Tanzania itahusika, ile ni njia ya kumaliza Vita (lose-lose situation). USA yeye alishaweka ahadi hataitumia kwa nchi isiyo na Nuclear lakini Russia yeye hajawahi ahidi so kulivurumisha Tz akiona tunamsaidia USA itakuwa kawaida!.
Kumbuka logistics analysis ikifanyika wakati huo ikaonekana kumfikia Russi/China tokea Afrika ni karibu zaidi ya Amerika basi Aircraft Carrier za Europe zote zitaweka nanga bandari za Afrika!.
M.A.D sio policy nzuri, hakuna Taifa litapona hii vita Duniani labda Mbinguni!.
 
Ndiyo maana niliuliza hapo awali kwamba "mwisho wa Dunia" kivipi?

Mwisho wa Dunia kwa maana ya kuharibika kwa uchumi, watu kukimbia makazi yao, vifo, uharibifu, mwisho wa uzazi ama mwisho gani?

Maana kuna mtu mwingine, Internet itakapokosekana Duniani kwake yeye ni mwisho wa Dunia.

Kwa wengine, Dunia ni binadamu yaani sisi pamoja na viumbe vyote vilivyomo ndani yake.

Sawa, kwamba uchumi utaathirika lakini Je, uchumi wa Dunia kuharibika ndiyo mwisho wa Humanity?

Tukiachana na hilo,
Umezungumzia kwamba endapo nchi mojawapo ya Afrika Mashariki mathalani Kenya ikishambuliwa kutokana na uwepo wa Marekani kama eneo lake la kistratejia kwaajili ya kuishambulia Urusi. Hiyo ni Scenario tofauti na Mutual Assured Destruction.

Historically speaking, msingi mkuu wa MAD ulikuwa ni kwaajili ya Deterrence kati ya mataifa mawili; Marekani pamoja na USSR ambapo kutokana na wingi wa silaha zao za nyuklia walizokuwa nazo, kila mmoja hapo alikuwa na uwezo wa kupeleka mashambulizi kwa mwenzake hata kama na yeye atakuwa akishambulia kitu ambacho pande zote mbili zitaharibiwa kwa silaha hizo Strategically yaani 'Total Destruction on both sides'.

Ulichokisema kuhusu Afrika Mashariki ni tofauti na muktadha huo.

Hakutaweza kufikiwa kwa msingi mkuu wa MAD kama Urusi itakuwa ikilishambulia taifa jingine tofauti na Marekani yenyewe na kumbuka kuwa silaha za nyuklia zilizopo hivi sasa katika mataifa hayo mawili ni pungufu (idadi) ya zile za kipindi cha vita baridi na bado zinazidi kuwa Eliminated siku hadi siku.

Pia kushambuliwa kwa nyuklia Afrika Mashariki au Mashariki ya kati pamoja na Nuclear Fallout katika maendeo ya karibu bado si adhari kwa Dunia nzima, kuna Factors nyingi hapo, linapokuja suala la maisha ya kibinadamu (Humanity) ulimwenguni ni Story nyingine kabisa.
 
Ndiyo maana niliuliza hapo awali kwamba "mwisho wa Dunia" kivipi?

Mwisho wa Dunia kwa maana ya kuharibika kwa uchumi, watu kukimbia makazi yao, vifo, uharibifu, mwisho wa uzazi ama mwisho gani?

Maana kuna mtu mwingine, Internet itakapokosekana Duniani kwake yeye ni mwisho wa Dunia.

Kwa wengine, Dunia ni binadamu yaani sisi pamoja na viumbe vyote vilivyomo ndani yake.

Sawa, kwamba uchumi utaathirika lakini Je, uchumi wa Dunia kuharibika ndiyo mwisho wa Humanity?
Kuna series moja inaitwa REVOLUTION ningekushauri ukaiangalie!. Labda kama hujui tu maisha ya binadamu wengi yanategemea teknolojia sasa hivi mfano mdogo tu ni hii IoT (internet of thing) ambayo kila kifaa kinajaribu ungwa na internet mpaka umeme unanunua kwa simu yako tu!, sasa Bomu la Nuclear likipigwa inamaana litaenda disrupt any electrical devices, fikiria leo hii kwa masaa 24 tu huduma zote muhimu zisimame itakuwaje!?.
Serikali yeyote inapofeli iwe kiuchumi, kisiasa, kijamii basi ndio mwisho wa Taifa hilo mfano mdogo chukulia Syria, Yemen na Iraq. Sasa hiyo hali ikuze dunia nzima!.
Tukiachana na hilo,
Umezungumzia kwamba endapo nchi mojawapo ya Afrika Mashariki mathalani Kenya ikishambuliwa kutokana na uwepo wa Marekani kama eneo lake la kistratejia kwaajili ya kuishambulia Urusi. Hiyo ni Scenario tofauti na Mutual Assured Destruction.

Historically speaking, msingi mkuu wa MAD ulikuwa ni kwaajili ya Deterrence kati ya mataifa mawili; Marekani pamoja na USSR ambapo kutokana na wingi wa silaha zao za nyuklia walizokuwa nazo, kila mmoja hapo alikuwa na uwezo wa kupeleka mashambulizi kwa mwenzake hata kama na yeye atakuwa akishambulia kitu ambacho pande zote mbili zitaharibiwa kwa silaha hizo Strategically yaani 'Total Destruction on both sides'.
MAD waasisi ni hao lakini sio kwamba wao pekee wataifanya hiyo sera, India na Pakistan ni Paka na Panya wao pia wanaweza ifanya, Iran na Israel nao pia wanaweza ifanya.
Nilipokupa mfano wa Kenya nilijaribu kukuonyesha ni jinsi gani tutaweza athirika kupitia MAD sababu leo hii US akiweka kambi Kenya usitegemee atatumia silaha za kawaida ni ataleta mpaka Nuclear bombs pale, sasa unategemea Russia atapiga mabomu yake yote USA wakati amejua hata akiilevel America bado Second strikeitatokea Kenya, si itambidi ailevel na Kenya!.
Sera ya MAD ni "kuwa na uwezo wa kurudisha shambulizi sawa sawa pale utakaposhambuliwa" haitatokea eti wakubaliane sasa 'tumalizane!'.

Hakutaweza kufikiwa kwa msingi mkuu wa MAD kama Urusi itakuwa ikilishambulia taifa jingine tofauti na Marekani yenyewe na kumbuka kuwa silaha za nyuklia zilizopo hivi sasa katika mataifa hayo mawili ni pungufu (idadi) ya zile za kipindi cha vita baridi na bado zinazidi kuwa Eliminated siku hadi siku.
Tambua zamani mabomu yalikuwa yanatengenezwa MAKUBWA kupiga SEHEMU KUBWA lakini siku hizi yanazalishwa MADOGO kupiga SEHEMU KUBWA ndio maana kama lile Minuteman lina version tofauti, linazidi kuwa dogo lakini likiwa na effects kubwa zaidi. Sasa hapo ya nini kuwa na mabomu mengi ikiwa machache yataweza ifanya kazi ile ile. INF treaty imevunjwa what else kama sio testing zaidi!.
Pia kushambuliwa kwa nyuklia Afrika Mashariki au Mashariki ya kati pamoja na Nuclear Fallout katika maendeo ya karibu bado si adhari kwa Dunia nzima, kuna Factors nyingi hapo, linapokuja suala la maisha ya kibinadamu (Humanity) ulimwenguni ni Story nyingine kabisa.
Maisha ya binadamu kwa wenzetu yameangaliwa sana ndio maana wanaendelea tengeneza Nuclear Bunkers ambazo kipindi cha vita sio lazima Taifa zima likajifiche ili mradi wachache wakiweza survive!. Ukisoma kitabu kinaitwa "Death by China" utaelewa ni kwa jinsi gani hata mchina anawekeza kwenye ujenzi wa mahandaki milimani!.
Mabaki ya Nuclear Fallout yatabebwa na Upepo+Mvua mpaka maeneo mengine kabisa!.
 
Wengine kama IRAN KOREA RUSSIA CHINA Na wengine hawa inakuaje mikataba wao hawajapewa wamepewa US 2 ama ?!
Kupitia mikataba mbalimbali ya kimataifa yaani Treaties.
Maana naona hayo mataifa tajwa hapo juu yakifanya same thing na hio yao hawa mabwana hua wanabweka bweka sana imekaaje hii ?!...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna series moja inaitwa REVOLUTION ningekushauri ukaiangalie!. Labda kama hujui tu maisha ya binadamu wengi yanategemea teknolojia sasa hivi mfano mdogo tu ni hii IoT (internet of thing) ambayo kila kifaa kinajaribu ungwa na internet mpaka umeme unanunua kwa simu yako tu!, sasa Bomu la Nuclear likipigwa inamaana litaenda disrupt any electrical devices, fikiria leo hii kwa masaa 24 tu huduma zote muhimu zisimame itakuwaje!?.
Serikali yeyote inapofeli iwe kiuchumi, kisiasa, kijamii basi ndio mwisho wa Taifa hilo mfano mdogo chukulia Syria, Yemen na Iraq. Sasa hiyo hali ikuze dunia nzima!.
MAD waasisi ni hao lakini sio kwamba wao pekee wataifanya hiyo sera, India na Pakistan ni Paka na Panya wao pia wanaweza ifanya, Iran na Israel nao pia wanaweza ifanya.
Nilipokupa mfano wa Kenya nilijaribu kukuonyesha ni jinsi gani tutaweza athirika kupitia MAD sababu leo hii US akiweka kambi Kenya usitegemee atatumia silaha za kawaida ni ataleta mpaka Nuclear bombs pale, sasa unategemea Russia atapiga mabomu yake yote USA wakati amejua hata akiilevel America bado Second strikeitatokea Kenya, si itambidi ailevel na Kenya!.
Sera ya MAD ni "kuwa na uwezo wa kurudisha shambulizi sawa sawa pale utakaposhambuliwa" haitatokea eti wakubaliane sasa 'tumalizane!'.

Tambua zamani mabomu yalikuwa yanatengenezwa MAKUBWA kupiga SEHEMU KUBWA lakini siku hizi yanazalishwa MADOGO kupiga SEHEMU KUBWA ndio maana kama lile Minuteman lina version tofauti, linazidi kuwa dogo lakini likiwa na effects kubwa zaidi. Sasa hapo ya nini kuwa na mabomu mengi ikiwa machache yataweza ifanya kazi ile ile. INF treaty imevunjwa what else kama sio testing zaidi!.
Maisha ya binadamu kwa wenzetu yameangaliwa sana ndio maana wanaendelea tengeneza Nuclear Bunkers ambazo kipindi cha vita sio lazima Taifa zima likajifiche ili mradi wachache wakiweza survive!. Ukisoma kitabu kinaitwa "Death by China" utaelewa ni kwa jinsi gani hata mchina anawekeza kwenye ujenzi wa mahandaki milimani!.
Mabaki ya Nuclear Fallout yatabebwa na Upepo+Mvua mpaka maeneo mengine kabisa!.
Movies pamoja na Series ni nzuri sana pia nazipenda ila katika baadhi ya mambo ni vyema kujikita zaidi katika tafiti za kutosha ili kujikusanyia facts ama taarifa za kisomi zaidi.

Maana kuna filamu nyingi sana ulimwenguni kuhusiana na masuala haya lakini zina fictions nyingi sana na mapungufu mengi ya kiutafiti ambazo haziwezi kutumika kama kielelezo katika kuyaelezea masuala mbalimbali ya kidunia na mwenendo wa maisha ya kibinadamu.

Shukrani kwa hiyo recommendation.

Tukiachana na hilo;

Je, unafahamu kuwa uwepo wa mifumo au makazi ya kujikinga ama kwa lugha nyingine, Massive Scale Shelters kunauondoa kabisa msingi mkuu wa Mutual Assured Destruction?

Je, unafahamu kuwa uwepo wa Missile Defense Systems na kuongezeka kwa uwekezaji wake kwa kiasi kikubwa pia kunaifanya Mutual Assured Destruction kutoweza kuwa implemented?

Kuna masuala ya Counter value na Counter force katika vita ya kinyuklia, ambapo kwa namna moja ama nyingine ni kipingamizi kwa Mutual Assured Destruction kufanikiwa.

Mutual Assured Destruction haiishii katika kushambuliana sawasawa, bali ili Mutual Assured Destruction iwe implemented na msingi wake mkuu ni lazima mwishoni kuwe na "Total Destruction on Both Sides". Tofauti na hapo, MAD haipo.

Msingi wa hoja upo katika Full Scale Nuclear War kati ya Marekani na Urusi ambapo ndipo nadharia hii ya Mutual Assured Destruction ilipoasisiwa.

Unapozungumzia suala la mgogoro wa Pakistan na India ni scenario tofauti kabisa maana hata Military Doctrines zao ni tofauti ukilinganisha na upande wa Marekani na Urusi. Mfano, programs za kinyuklia za Pakistan zinahusisha kitu kinachoitwa N-Deterrence ambayo ni Minimun Nuclear Deterrence kitu ambacho ni kinyume kabisa na MAD, same applies kwa upande wa India.

Tukija kwa Israel na Iran, pia hapo hakuna uwezekano wa Mutual Assured Destruction kabisa kwa sasa. Isitoshe hakuna taarifa zozote kuhusiana na silaha za nyuklia za Iran na kwa kifupi tu ni kuwa hapo kuna utofauti mkubwa tena kupita kiasi wa nguvu za kinyuklia ambapo ni kinyume kabisa na nadharia ya Mutual Assured Destruction.

Umezungumzia kuhusu Nuclear Bunkers au pia Fallout Shelters.
Ndiyo maana nikasema, na pia utakubaliana na mimi kuwa kuna factors nyingi za kulidhoofisha shambulizi la kinyuklia na moja wapo ni hiyo uliyoitaja kitu ambacho ni kinyume kabisa na Mutual Assured Destruction Doctrine.
 
Back
Top Bottom