Pentagon yakiri droni za Iran ni "pasua kichwa" kwa Ukraine, USA🇺🇸 na NATO, hakuna 'kinetic interceptors' za kuzidungua!


Zamani hawa viumbe walifikiri maarifa na elimu ya dunia yanapatikana na yamefungiwa kwenye jamii yao pekee. Nje ya jamii yao wanaona hakuna la maana linaloweza kufanyika. Sasa Putin anawaonesha show za kibabe mpaka wanabaki hoi.
 
"Russia bado hawajawa na hii technology"

Ngoja Pro Russia wenzako waje kukushambulia mpaka ukome[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumbe tunakubaliana Urusi level zake ni kuteswa na Ukraine. Sasa Ukraine haipo kwenye nchi zinazojaribu au kufikiriwa kuwa superpower. Hiyo ni ligi ya Ndondo kama inashindikana hatuwezi toa timu kuipeleka ligi kuu
Mara ya mwisho USA aliteswa sana na Japan kilichotokea dunia imeandika vita sio lipstick useme unajipaka tu.Wote tumekuwa mashabiki maandazi.
 
kinachotakiwa in kichapo tu sijui hazina mini hazipigi moving haijalishi hayo
 
Isingekuwa vikwazo, Iran ingekuwa kati ya mataifa yenye nguvu (nyingi sana) duniani.
Bila vikwazo inawezekana angekuwa kama Sisi tu matatizo Huwa yanakuongeza akili km Sisi nchi yetu inavyoyumba Sasa hv utashandaa tukiwekewa vikwazo ndio tutaendelea maana hakuna wa kumtegemea lazima mjitume
 
Bila vikwazo inawezekana angekuwa kama Sisi tu matatizo Huwa yanakuongeza akili km Sisi nchi yetu inavyoyumba Sasa hv utashandaa tukiwekewa vikwazo ndio tutaendelea maana hakuna wa kumtegemea lazima mjitume

Embu tujifunze kutokana na vikwazo kwa Zimbabwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…