Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Pentagon imeendelea kuruka viunzi suala la kupeleka ndegevita za kimarekani nchini Ukraine. Pentagon yasema suala la kuipatia Ukraine ndegevita za kimarekani lipo mezani lakini kuzipeleka hadi kufika nchini Ukraine itachukua miaka tele.
Mwambieni Biden aache kuruka viunzi, ni muda muafaka sasa apeleke Ukraine hayo 'mabatibati' yake ya SIMBADUMU waliyoyapa jina ati 'ndegevita' yakadunguliwe vibaya na Urusi na dunia nzima ijue madhaifu ya mabatibati hayo. Eti 'itachukua miaka mingi ndege hizo kufika Ukraine', kwani zinatembea kwa mguu toka Marekani hadi Ukraine!
Basi Biden apeleke walau ndege za nchi nyinginezo za NATO, tuna hamu ya kushuhudia walau ndege za wanachama wa NATO zikidondoshwa kama kumbikumbi.
======