Narumu kwetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,888
- 4,489
Haya bwana ngoja tusubirMwambie huyo dogo mtarimbo asikariri kama kasuku, asome maelezo haya hapa chini toka Uingereza yenyewe, waingereza wenyewe wanakiri kuwa kama si Stalin (kiongozi wa USSR/Urusi) basi Hitler asingeweza kuangushwa vitani (WW2) na Uingereza wala Marekani.
View attachment 2337772